Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
SAsa kule utampata nani kwa mida hio nature ya watu wa kule ni kushinda mjini na sio nyumbani.Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi?
Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
Wale wanahubiri kwenye mikusanyiko ya watu ambapo pa kuwapata ni mijini au kwenye vituo vya magari