SAsa kule utampata nani kwa mida hio nature ya watu wa kule ni kushinda mjini na sio nyumbani.Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi?
Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
Nakubaliana nawewe, kinachowapeleka watu wengi kwa hawa manabii ni shida, umaskini, njaa, mawazo ya kishirikina na msongo wa mawazo unaotokana na maisha magumu.Mikutano ya injili, mahubiri ya vitisho na makanisa yasiyo na kichwa wala mguu ni kwaajili ya watu masikini.
Wanapoanguka huwa mnakuwepoMara ngapi umeona tajiri akianguka mapepo?
Tuanzie hapo kwanza.
Kwa kweli..Nakubaliana nawewe, kinachowapeleka watu wengi kwa hawa manabii ni shida, umaskini, njaa, mawazo ya kishirikina na msongo wa mawazo unaotokana na maisha magumu.
Aina hiyo ya maisha huwezi kuikuta maeneo ya kishua ndio maana ni ngumu hawa manabii kwenda kufanya mikutano yao maeneo hayo
Halaf hao wachungaj weng wanaish hukohukowachungaji wengi ni feki, matajiri hawaamini katika huo upumbavu
masikini ndiyo wanaopigwa
Hayo makanisa sio ya wale kina mbeengo zemefongooka bana.. sioMakanisa mbona yapo mengi tu,labda mikutano wanakosa eneo la kufanyia mkutano maana huko masaki kupata uwanja kama wa Tanganyika Pakers..huezi pata vyote wamejenga.
Ila makanisa Kote huko yapo.
View attachment 2157100
Mambizi, hii sasa kali.Wanaweza kufanya haya?
Kwa sababu matajiri tunasubiri kwanza ngamia apite kwenye tundu la sindano Kama mlivyo tuahidi hatuiingii peponi hadi ngamia apite kwenye tundu la sindano
Mtuambie kwanza kama kuwa tajiri ni dhambi au ni chuki zenu tu