chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Je una swaggar? Gentleman inabidi huwe na swaggar fulani hivi kiasi kwamba nikikaa sehemu peke yangu wataanza kujivuta kuja kwangu! Nikienda sehemu nikampoint manzi fulani alafu nikamtuma mtu amuulize anakunywa/kula nini? Baada ya hapo ataniganda! Swaggar ni muhimu! Sio unakaa kihasarahasara kama umetoka kijijini hata kama mpunga hupo!Kwema wakuu,
Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje
Tunaijua hiyoππππmtego huu
Kuna mtu anatafutwa hapa,, we subiri na uoneπππTunaijua hiyoππππ
Mkuu hapo sielewi, najitahidi kuwatongoza mimi sio domo zegeTatizo nini? Domo zege au nini? Mbona nikiwa na mapene warembo kama wote kana kwamba wanachungulia wallet?
Mara nyingi naongea mambo ya maanaPole sana.
Sura mbaya, tabia zako mbaya na domo lako halichagui cha kuongea ni sababu 100%.
Kila muda wewe ni Yanga/Simba mara mambo ya kufikirika kama majini ya Yanga lazima warembo wakuone kichwani hakuna network nzuri.
Naishi maisha yangu real kabisaJe una swaggar? Gentleman inabidi huwe na swaggar fulani hivi kiasi kwamba nikikaa sehemu peke yangu wataanza kujivuta kuja kwangu! Nikienda sehemu nikampoint manzi fulani alafu nikamtuma mtu amuulize anakunywa/kula nini? Baada ya hapo ataniganda! Swaggar ni muhimu! Sio unakaa kihasarahasara kama umetoka kijijini hata kama mpunga hupo!