instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Huu ndo ukweli wenyew.Sababu una akili ya kumsoma mtu.
Kama pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga
Ukiwa na akili utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kukutana na high value woman.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale vilaza wanaofosi ndoa wapate wepesi wa maisha
Watu wenye akili nyingi Huwa ni ngumu sana kuingia kwenye mahusiano japo hupata mafanikio makubwa kwenye maisha.