Huu ndo ukweli wenyew.Sababu una akili ya kumsoma mtu.
Kama pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga
Ukiwa na akili utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kukutana na high value woman.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale vilaza wanaofosi ndoa wapate wepesi wa maisha
Sawa tumekusikia Chief Godlove,,,ila upunguze sifa sasa maana hela zenyewe za masharti.Kwema wakuu,
Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje.
Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
Ukimchunguza sana bata hutamla? Sasa ni wapi utakuta pisi kali ambaye hashobokewi? Level ya chuo atleast hatakama anashobokewa lakini kuna kitu kinawakipu bize (masomo). Alafu pisi kali nyingi za chuo (UDSM) zimetoka familia bora! Changamoto yako ni jinsi ya kumshawishi! Mke wangu nilimpata kwa jinsi hiyo!Mimi kwa upande wangu naona miyeyusho sana ku-date na hawa wanafunzi maana mara nyingi wanakuwa na boyfriend pale chuo.
Au uko serious Sana hauko funny and romanticMara nyingi naongea mambo ya maana
Unataka mke bora asie penda pesa zake mwenye mapenzi ya kweli na ndio maana hajapata mpaka sasa, Mwanaume akishakuwa na pesa kupata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli na sio kupenda pesa ni ngumu.Hauna mkuu acha mambo yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake wa bongo uwe na hela alafu hupati wakuoa uko serious kweli mkuu?
Kwema wakuu,
Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje.
Acha kujifanya mjanja, hapo nilikuwa nimemaliza chuo nikakosa ajira. Ila Mzee akaamua kunipa baadhi ya miradi yake, maana Mzee wangu ni mtu mwenye pesa nyingi mno, so automatically na mimi nikaanza mdogo mdogo. Kwa sasa Nina pesa zaidi ya mchanga wa bahari. Kwa hiyo usikariri mkuu. Hizi pesa nimepewa na mzazi.Wakuu depression inanimaliza
Kwema ndugu zangu, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.www.jamiiforums.com
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
HakikaHata kama una pesa kiasi gani kama una tabia mbovu na unyanyasaji hupati mtu