Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?


tatizo mkipewa inye kubwa mnajihisi watu wazima wakati akili bado za kitoto ndo maana mibaba inawagegedua..na vijana twaishia kusema wakubwa wanafaidi#fact
 
Kama unaamua kukonda na ili uwe healthy, fanya kwa ajili yako sio kwa ajili ya mwanamme.
 
hakuona haja ya kushikilia bomba kwa mikono, amelishikilia kwa nanihii.
 

Tatizo maelezo yako hayatupi picha wewe ni mnene kiasi gani au unazungumzia wanawake wanene kwa kiasi gani.

Kama unafanana na avator yako, then kiafrika wewe sio mnene na wala sio mwembamba. Wanawake wengi wenye shepu hizo wengi wao (sio wote) wanakuaga na tabia ya kutembea na wanaume wengi simultaneously halafu wana take it easy kuwa mwanaume wake atamsamehe tu, na mara nyingi wanakuwa sio mafundi wa kuficha mambo yao ya pembeni, ni rahisi mno kushtukia kuwa ana-cheat. Kwa hiyo unakuta mara nyingi wanaume wanapenda kuwafanya wanawake wa pembeni. Katika wanawake kumi wenye shepu za hivyo ninaowafahamu, nane kati yao wanatabia niliyoieleza hapo kwenye bold.
 
Kwa kweli mabonge wengi wanajitahidi kwenye mechi ila shida yao wanagawa sana na wanatamaniwa na wanaume wengi so ndo mana wanaishia kuwa vidumu vya mkononi.

Mi nafikiri wanaume wengi wanavutiwa nao sana na rate ya kutongozwa inakuwa kubwa pia.
 



Mi nimependa tu hiyo avatar yako.
 

kama kweli unajiamini wewe ni futa! na sailoni ipo....ni pm.. haraka nakuowa....
 
duu! Sijui hata inakuwaje, unaemtaka humpati! Anaekutaka humtaki! Mi napendaga xna mwanamke mnene' kama unaweza kuwa mke mwema hebu ni pm'
 

hiyo point ya kwanza imenitisha kidogo, inamaana unasema wewe na hao mnaongkza kwa kua vimada kwa waliooa, sasa kumbe hilo unalijua unadhani nani mjinga aoe wewe unaetambua kua ni kimada kwa waliooa?
hahaha, wengine mbona wanaolewa, ni wewe tu na sababu labda ni hiyo...
 

Hapo kwa wakurya uko sahihi 100% umesahau sura! dah Mungu hakupi vyote
 

Ni mtazamo tu!!
mm ni kati ya wale wanaopenda wanawake wanene, tena wenye nyama kweli kweli, km kimbaumbau hata salaam hupati!

ila pia km mnafanywa vimada basi nyie ni nouma, mnakubalika kiasi cha kuogopwa kuwekwa ndani kwa kuhofia multiple-mgegedo from outsiders!!!
 
Labda ulimpata alifundwa kitchen part, ukanda wetu kusini ukimpata mnene kitandan co participative hadi inaboa.

Wa kusini huko wanalala kama gogo huyu mtoto wa kiluguru balaa kafundwa kafundika mpododo huo ila kiuno anavyo zungusha kama miguu ya fundi cherehani.
 
naunga mkono hoja asilimia mia kwa mia.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…