Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Hii ndio hoja yangu kuu kwamba mbona halipewi uzito stahiki? Hata huko "A" level ukifaulu sana somo hili unapewa tu alama "S"...Civics kukosa kombi haimaanishi halina umuhimu au limepuuzwa, hii kitu imeathiri mtazamo wa wengi na kujisahau kulipa uzito stahili.
Hii ndio hoja yangu kuu kwamba mbona halipewi uzito stahiki? Hata huko "A" level ukifaulu sana somo hili unapewa tu alama "S"...
Mpaka kipengele hiki upo sahihi...Huwa una kaujinga cha kucrop kipande unachokitaka tu, niliweka maelezo toshelevu.
Narudia tena:
Civics ni 'universal' subject, kila mmoja anasoma civics kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu... from uraia/siasa or some sort to DS.
Mkuu, sasa wale vipanga wa Civics wanaopiga "A" wanachukuliwaje na mfumo wetu huu wa elimu?Kuwekwa kwenye kombi manake lingekuwa optinal, mtu asiyechagua kombi yake basi asingeendelea kulisoma.
Masomo yaliyo kwenye kombi ni optional, universal ni undefined like ndo maana hata grading zake huwekwa hiyo 'S' tu.
Mkuu, sasa wale vipanga wa Civics wanaopiga "A" wanachukuliwaje na mfumo wetu huu wa elimu?
Kwani Civics ikiwa sehemu ya combination kisha wengine wakasoma kama kama optional kuna shida gani?
Mbona ICT ni programme maalum ya miaka mitatu chuoni ila wengine wanaisoma kama sehemu ya somo moja ndani ya semester mbili kisha wanaachana nalo?
Mkuu, sasa wale vipanga wa Civics wanaopiga "A" wanachukuliwaje na mfumo wetu huu wa elimu?Unachanganya mambo kwa maksudi au kwa kutokujua, speaking of ICT based on mada yako... hii ICT pia inasomwa kama 'kombi' gani kwenye levels?
Jikite kwenye mada, usianzie juu kurudi chini.
Sawa bossDegree kama hizi zingesaidia :
History, Philosophy and Politics PPH
Psychology, Philosophy and Pysiology PPP
Psychology, Philosophy and Linguistics PPL
Philosophy , Politics and Economics PPE
Mkuu, bila shaka degree bora huanza na msingi mzuri "O" levelDegree kama hizi zingesaidia :
History, Philosophy and Politics PPH
Psychology, Philosophy and Pysiology PPP
Psychology, Philosophy and Linguistics PPL
Philosophy , Politics and Economics PPE
Dogo pendwa wa JF ndio nani?Dogo pendwa wa JF!
NJE YA MADA KIDOGO: Kwanini hutokea mtaalamu wa fani nyingine (sheria, uchumi, uhasibu, mhitimu wa form four tu) anakuwa wanasiasa mzuri na bora kuliko yule aliyesomea "Political Science"? Sababu ni nini?Degree kama hizi zingesaidia :
History, Philosophy and Politics PPH
Psychology, Philosophy and Pysiology PPP
Psychology, Philosophy and Linguistics PPL
Philosophy , Politics and Economics PPE
Asante sana kwa ufafanuzi wako mwanana lakini msimamo wangu upo pale pale kwamba wanaopata As za civics waangaliwe kwa jicho pana zaidi kwa maana hawa ndio "diplomats" bora wa Tanzania hapo baadae.Tafakari kidogo tu:
Civics ni somo mama limeachwa huru na wanafunzi wote wanalisoma kwa usawa, chagua kombi yoyote lakini bado utasoma Civics katika rangi tofauti kama GS na DS.
Lingeundiwa kombi manake kuna watu wangekosa kulisoma.
Cheers
Acha dharau mkuu...Kwanza somO la civics Lina topics gani za ajabu Mtu yoyote ashindwe kufundisha
Umenena vema mkuu. Watu wanataka kuyajenga mazoea yaonekane kuwa ndio realityHaikuwa sahihi, sitaki kuendelea kubishana na wewe lakini nilichosema KWENYE hoja yangu msingi ilikuwa ni mazoea tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimependa jibu lakoUkitaka iwe na combination means alie muuguzi hatojua uraia (civics) hivohivo na kwa mwalimu.
Maana ya kuwekwa civcs bila comb yoyote means isomwe kwa wote na ni lazima sio ombi au hiari km unavojichagulia hizo EGM, HKL, HGE, n.k
Na ndio maana O level inaitwa civics ni lazima isomwe na wote ila
A level inaitwa general study hiyo ni kwa wote sio ombi au hiari.
Kulipenda jibu na kuwa sahihi hayo ni masuala mawili tofauti mkuuNimependa jibu lako
Dharau ya Nini SasaAcha dharau mkuu...
Hao walimu wa Biology na History walikuwa wanafundisha taaluma ambayo sio yao...Nimeandika hvyo mm niliwahi kufundsha sekondari nimeacha kazi ya ualimu miaka minne nyuma
Mm NI mwalimu was science na nimeshudia walimu a masomo mengine Kama biology history no wakifundisha civics
Civics nayo imekuwa taaluma(proffession) ???Hao walimu wa Biology na History walikuwa wanafundisha taaluma ambayo sio yao...