Pre GE2025 Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tofautisha Wahamiaji,wakimbizi na Makabila ya Tanzania, Makabila yetu tunayo tunayajua yamekuepo kabla hata ya uhuru japo mengine ni madooogo sana na mengi yalitoka nchi za mbali lakini si hawa Warundi,Wasomali na Wanyaru wanaojazana kila siku. Hatuwakatai tunaish nao fresh tu ila swala la kuwapa Mamlaka ni ujinga mkuu.
 
Habari za mdaa huu watanzania kutokana na kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kupewa teuzi nafasi za maamuzi nmewaza kuhusu hawa watu wanaojiita chawa wa mama

Asilimia 90 wanatoka mikoa ambayo imepakana na nchi jirani ndiyo maana hawana aibu wapo tayari kusifia kila uozo wa serikali ili tu wapate pesa ndiyo maana hawana ata chembe ya aibu

Pamoja na serikali kufanya uozo katika mambo mengi wao wamekuwa wakisifia tu kila kitu bila kujari watanzania tukiumia na ujinga wao

Hawana uzalendo wala aibu wachunguzwe uraia babalevo,mwijaku na wakimbizi wengine waliojipenyeza Tanzania
 
Ili wasishtukiwe
 
Back
Top Bottom