Habari za mdaa huu watanzania kutokana na kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kupewa teuzi nafasi za maamuzi nmewaza kuhusu hawa watu wanaojiita chawa wa mama
Asilimia 90 wanatoka mikoa ambayo imepakana na nchi jirani ndiyo maana hawana aibu wapo tayari kusifia kila uozo wa serikali ili tu wapate pesa ndiyo maana hawana ata chembe ya aibu
Pamoja na serikali kufanya uozo katika mambo mengi wao wamekuwa wakisifia tu kila kitu bila kujari watanzania tukiumia na ujinga wao
Hawana uzalendo wala aibu wachunguzwe uraia babalevo,mwijaku na wakimbizi wengine waliojipenyeza Tanzania