Hapo KWENYE shule ni sahihiKwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )
Mambo yao waachie wenyeweKwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )
Hayo sio mambo yao kwasababu wanaofanya kazi kwao ni watu tofauti wanawazulumuMambo yao waachie wenyewe
Kukosa nguna ni zaidi ya kukosaa uhaiHivi mpaka mhitimu unaenda kufanya kazi pale akili zinatosha?
wasingepewa chuo kikuu chao na mkapa hadi leo wasingekuwa na chuo na kubaki kulalama mfumo kristo unawakandamiza. Hizo shule tu wameiga kwa wakristo tena kwa kusaidiwa na wenzao wa nje. Hawa kobazi wa kibongo wao kama wao hawawezi kuanzisha na kuendesha miradi ya elimu, afya, akili hizo hawanaWatakuambia tatizo ni mfumo kristo,wakati hata chuo kikuu chap walipewa na serikali
Sjaisingizia viongozi wajuu wa taasisi zao ni watu wabinafsi sana utakuta wananunua magari ya gharama huku watumishi wao hawawalipi kama wanafunzi wanaishi mazingira ya hovyo chakula ndio usisemeDini ya hakhi utakuwa umeisingizia.
Hata kobazi wenzao wanapitia hali mbaya sana utasikia viongoz wajuu wanawambia shekh piga kazi Allah atakujaalia yaan ni vitu vya ajabu sanaUnaenda kutafuta ajira kwenye taasisi za kikobazi unatafuta nini huko? Ukute hata we sio kobazi utakuwa una akili kweli? Labda uwe kobazi njaa unatafuta ajira hapo unaweza kwenda kwa wenzako kupewa ajira njaa
Dhuluma wanafanya sana msije mkasema nimeanzisha uzi kuwachafua waislam jaribu kufaatilia hata ulipo ukijaribu kufaatilia kwenye viombo husika watahonga hela utazungushwa mpaka unakata tamaa ili wenzako wasiwe na nguvu ya kufatilia au kudaiSidhani kama ni ndio au hapana.
lakin je? kama inajulikana kuwa wanafanya dhuluma kuna hatua gani zilizochukuliwa juu yao au zinazopaswa?
Generally ni Taasisi ya IDF ni matapeli sanaKama Taasisi ngapi na zipi uzijuazo zinafanya dhulma kwa Wafanyakazi wake?
Generally ni Taasisi ya IDFKama Taasisi ngapi na zipi uzijuazo zinafanya dhulma kwa Wafanyakazi wake?