Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ungefanya ka research kidogo ungekutana na vitabu kama Kisima cha Giningi, Kuli, Adili na Nduguze, waandishi na watunzi nguli, Kiu, Kwaheri Ukoloni, kwaheri uhuru, nk ama ungekutana manguli kama SHAABAN Robert, E. Kezirahabi, PENINA Mlama, Mohammed Shafi, Julius Nyerere, Mzee Said Abdullah, nk..
'Julius nyerere and all Tanzanians'...so where do you peg yourself! and what have you done to make the indifference??? You are so mouthful blindly pitting yourself against your inner self
Tatizo watz hatueleweki utamaduni wetu. Ukiangalia kwa kuandikia lugha yetu inaonyesha ni kama tumekataa utumwa wa lugha, lakini kwa upande mwingine unaweza kusema lugha ya wenzetu hatuijui vizuri au pengine tunaandika mambo yanayoikumba jamii yetu tu, japo matatizo ya waafrika yanafanana.Watanzania ni wajinga akiwemo mm ndo maana hakuna African Writer kutoka Tanzania.....
Wote wanakariri,
Well said.Msingi wa lugha ya kiingeleza hatukuwa nao.
Ukiziangalia hizo nchi zote ulizozitaja utaona kuwa zilitawaliwa na Mwingeleza.
Siye kijerumani kabla yakuota mizizi akaja mwingereza.
Naye toka 1920s akatupa Uhuru 1961.
Wakati huko Kenya na Uingeleza mkoloni alikaa tangu 1880s mpaka 1960s.
Msingi wetu ulikuwa hafifu.
Naye Nyerere akaupiga pigo la mwisho kwa kukifanya Kiswahili lugha rasmi ya taifa huku akikipa kiingereza nafasi ya pili.
Yes. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Na hilo ccm hawalitaki.Tuko wajinga kutokana na ujinga uliotengenezwa na CCM.
Ujinga wetu sio wa asili ni wa kutengenezwa mkuu, ila akitokea mwerevu mmoja kututoa ujinga anapigwa risasi.
Henry ole Kulet wa Is it possible na Kitabu cha The wrath of God nadhani ni wabongo1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe.
2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo.
3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek.
Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa kwenye "english literature" katika nchi nyingi.
Ukiangalia list yote ya "African writers" huoni na kujivunia mtanzania hata mmoja. Tujiulize kwa sababu za ukweli, kwa nini Tanzania hatukupata wala mmoja kwenye hao "African writers"?
Nadhani can be the best in Tanzania huyo jamaa kajitahidi sana japo inaonekana amekolea kwenye useminari!!! Personally I salute him!!!Naona umemsahau Severin R.Ndunguru mwandishi wa vitabu vya fasihi kwa lugha ya kiingereza.
Ameandika vitabu hivi 1.A WREATH OF FR MAYER OF MASASI (kinatumika O level Literature)2.DIVINE PROVIDENCE 3.SPARED
Henry ole Kulet wa Is it possible na Kitabu cha The wrath of God nadhani ni wabongo
Hivyo votabu vya AWS vingi vilikosoa mamlaka zilizokuwepo. Hapa kwetu huo ni uhaini.
Kwa hiyo Tanzania ilitaka tusome serikali za wenzake zilivyoadabishwa na waandishi na sisi baba zetu wasiandike au wakiandika walambe miguu serikali.
Nadhani can be the best in Tanzania huyo jamaa kajitahidi sana japo inaonekana amekolea kwenye useminari!!! Personally I salute him!!!
Kama unamjua naomba historia yake fupi huyu ndugu Severin Ndunguru
Hakuna mwenye shida navyo ndiyo maana hata kwenye "Africa writers" havimo, yaani hata waafrika hawana habari navyo na hawavihitaji.
OK pia nimepata habari kuwa 2014 alishatangulia mbele ya haki!!!Nimesoma vitabuvyake tu ila ukitaka kupata wasifu wake nadhani waweza kwenda Mkuki na Nyota Publishing House hawa jamaa ndio wachapishaji wakuu wa vitabu vyake
Naona wachangiaji wengi wanatumia lugha kama kigezo cha kututoa ktk AWS. Lakini nakumbuka kuna vitab vingi vimetafsiriwa. Hivyo vingeweza kutafsiriwa na kuingia ktk AWS
Mnavyopenda kusifiwa si ndiyo tungeongoza kuisoma O-level!!!Ebrahim Hussein kupitia tamthiliya yake ya KINJEKITILE(imeandikwa kwa Kiingereza) yumo kwenye orodha ya AFRICAN WRITES SERIES
Huhuhuhuiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watanzania ni wajinga akiwemo mm ndo maana hakuna African Writer kutoka Tanzania.....
Wote wanakariri,