mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
wapo watanzania wengi mf. bernad mapalala,novel yake inatumika mashuleni1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe.
2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo.
3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek.
Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa kwenye "english literature" katika nchi nyingi.
Ukiangalia list yote ya "African writers" huoni na kujivunia mtanzania hata mmoja. Tujiulize kwa sababu za ukweli, kwa nini Tanzania hatukupata wala mmoja kwenye hao "African writers"?
Ilikuwa aibu mkuu.Ndio utambue hatuna wasomi bali wahitimu.
Zile kelele sijui Mimi shule na vyuo changu kipanga ww chako cha kata ni kujifariji.
Unakumbuka ile zain African challenge, watanzania walikuwa wanafanywa nini..!??
Ain't necessarily wawe kwenye list ya African writers lakini bado tunao famous world class writers kama :
●Abdulrazak Gurnah (1948– ), novelist and critic
● Mark Behr (1963– ), fiction writer also connected with South Africa
● Prince Kagwema (1931– ), novelist
● Julius Nyerere (1922–1999), politician and writer[Gikandi & Mwangi]
● Chachage
Hawa wote kazi zao zinapatikana na kutumiwa na wanazuoni ktk varsities mbalimbali zinazofunza lugha duniani
Awamu ya kwanza si ndio ilikichinjia baharini kiingereza? Anyways kiswahili kimesaidia kuliunganisha taifa japo critiques wanasema hatukupaswa kukifuta kiingereza kama lugha ya kufundishia kuanzia elimu ya awali/msingi, maana kiswahili tayari kilikua kinazungumzwa na zaidi ya asilimia 95 ya wa Tz,; kwa hiyo ilikua ni makosa kuondoa msingi wa kiingereza kwa watu wetuAina ya WaTz ni waswahili kwa tabia na matendo!! Na mtu kuwa mswahili kwa tabia ni kasoro. Rais wa awamu ya kwanza angalau alijitahidi, Lakini wa sasa na wale wengine mhhh.
Aksante kwa hoja yako nzuri, lakini mimi nimemgusia Mwl, tu kwa sababu yeye mwenyewe ameandika vitabu!! wengine hawa si wapenzi wa vitabu, Other wise ni vile ulivyosema.Awamu ya kwanza si ndio ilikichinjia baharini kiingereza? Anyways kiswahili kimesaidia kuliunganisha taifa japo critiques wanasema hatukupaswa kukifuta kiingereza kama lugha ya kufundishia kuanzia elimu ya awali/msingi, maana kiswahili tayari kilikua kinazungumzwa na zaidi ya asilimia 95 ya wa Tz,; kwa hiyo ilikua ni makosa kuondoa msingi wa kiingereza kwa watu wetu
Waandishi kwa maana ya waandishi tunao wengi na mahiri kuanzia riwaya hadi ushairi kwa fasihi ya kiswahili, hao African Writers wanataka kiingereza tu ambayo ni lugha tu. Ndio maana hata kwa Nigeria nchi yenye population kubwa lakini waandishi tuwajuao ni wachache tu, hii ni kwa sababu wapo wengine wengi wazuri hatuwajui sababu wameandika kwa lugha zao za kienyeji
Usiite "English Literature" bali Literature in English.1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe.
2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo.
3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek.
Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa kwenye "english literature" katika nchi nyingi.
Ukiangalia list yote ya "African writers" huoni na kujivunia mtanzania hata mmoja. Tujiulize kwa sababu za ukweli, kwa nini Tanzania hatukupata wala mmoja kwenye hao "African writers"?
jawabu ni moja tu watanzania htusomi hata virabu vyetu wenyewe ,sasa mtu anakurupuka kusema hakuna waandishi wakati vitabu vipo kwa kuwa tu kwa sababu zisizojulikana alisomeshwa akina okomkwo na ikemefuna basfi ndio hatuna waandishi?Shukran ... Nilitaka nimpe jibu hili. Watanzania tunajishusha mno, mpaka tunatia huruma.
Bado thread hii itaendelea kwa comments za kujiponda na kujibeza, na wanetu watakua hivyohivyo watu wa kujibeza.
Nashukuru mimi sijakuzwa hivyo.
Mlaumu nyerere.
ahsante mkuu maana nilijihisi mleta uzi anatutukana watanzania kuwa hatuvijaui vitabu vya watunzi wetu! bora unedhihirisha yeye na wapuuzi wenzake tu ndio hawana akili ya kusoma vitabu vyetuPia yumo Ishmael MBISE. Huyu kwa sasa ni Profesa wa Literature, Chuo Kikuu Tumaini Makumira. Aliandika: Blood on Our Land. Waandishi wa Kazi za Fasihi wako WENGI tu. Pamoja na Shaaban Robert, wapo pia: Kezilahabi, Semzaba, Aldni Mutembei, Mulokozi, Angoro Anduru, Kaigarula, Penina Muhando-Mlama, Ebrahim Hussein, Richard Mabala, Profesa Mbogo, Julius Nyerere, Gabriel Ruhumbika, Amandina Lihamba, Balisidya, Ndulute, nk. Wengi wa hawa waliandika kazi zao za Fasihi kwa lugha ya Kiswahili.
Ieleweke pia kuwa Africa Writers' Series, ni kampuni la uchapishaji wa kazi za Fasihi za Kiafrika (zilizoandikwa na Waafrika) kuhusu Afrika. Lugha ya uchapishaji ni Kiingereza. Kwa maana hii, kukosa kuchapisha kazi ya Fasihi katika AWS, haimaanishi Watanzania Hawajabobea katika kazi za Fasihi. Kwa waliosoma Fasihi shule za sekondari na vyuo, wamesoma kazi nyingi tu za fasihi zilizotayarishwa na Watanzania.
Tatizo lako umeanzisha thread ukiwa na biases na conclusion zako tayari.Naona hueleweki unalaumu tu mara African Writers Series mara hakuna Mtanzania aliyeandika Literature in English...Penda kujifunza vitu vipya na kama hujui kitu ni vizuri kuuliza kwa wabobezi na wataalamu kama sisi.."learning is a continuous process and we keep on learning each day"Subiost: 23965581 said:Mnavyopenda kusifiwa si ndiyo tungeongoza kuisoma O-level!!!
Kubalini ukweli watanzania kuwa si kwamba watu hawakujua kutunga bali tulikalia kuimba fikra za kiumbe mwenzetu.
Mimi ningeletewa vya watazania wakati ule ningevisoma.
1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe.
2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo.
3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek.
Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa kwenye "english literature" katika nchi nyingi.
Ukiangalia list yote ya "African writers" huoni na kujivunia mtanzania hata mmoja. Tujiulize kwa sababu za ukweli, kwa nini Tanzania hatukupata wala mmoja kwenye hao "African writers"?
Umetaja nchi 3 zenye waandishi mahili kati ya 52, hao wengine vp nao wana mazingira kama yetu?
Tatizo lako umeanzisha thread ukiwa na biases na conclusion zako tayari.Naona hueleweki unalaumu tu mara African Writers Series mara hakuna Mtanzania aliyeandika Literature in English...Penda kujifunza vitu vipya na kama hujui kitu ni vizuri kuuliza kwa wabobezi na wataalamu kama sisi.."learning is a continuous process and we keep on learning each day"
Kwa taarifa yako novel ya "A WREATH FOR FR MAYER OF MASASI" imeandikwa na Mtanzania mwenzetu Severin Ndunguru imeithinishwa na Wizara ya Elimu kutumika kufundishia Literature O level
Vilevile novel ya "THE CHOICE" Iliyoandikwa na Mtanzania Juma Mwamgwirani nayo iliithinishwa na EMAC (Education Materials Approval Committee ) kutumika O level.
jawabu ni moja tu watanzania htusomi hata virabu vyetu wenyewe ,sasa mtu anakurupuka kusema hakuna waandishi wakati vitabu vipo kwa kuwa tu kwa sababu zisizojulikana alisomeshwa akina okomkwo na ikemefuna basfi ndio hatuna waandishi?
Hivi hakuna kampuni ingine ya kuyarudisha Yale mashindano..,!??Ilikuwa aibu mkuu.
Emmanuel mbogo ni hatr sana kiufup wangon fasih wanaijui ata yulePia yumo Ishmael MBISE. Huyu kwa sasa ni Profesa wa Literature, Chuo Kikuu Tumaini Makumira. Aliandika: Blood on Our Land. Waandishi wa Kazi za Fasihi wako WENGI tu. Pamoja na Shaaban Robert, wapo pia: Kezilahabi, Semzaba, Aldni Mutembei, Mulokozi, Angoro Anduru, Kaigarula, Penina Muhando-Mlama, Ebrahim Hussein, Richard Mabala, Profesa Mbogo, Julius Nyerere, Gabriel Ruhumbika, Amandina Lihamba, Balisidya, Ndulute, nk. Wengi wa hawa waliandika kazi zao za Fasihi kwa lugha ya Kiswahili.
Ieleweke pia kuwa Africa Writers' Series, ni kampuni la uchapishaji wa kazi za Fasihi za Kiafrika (zilizoandikwa na Waafrika) kuhusu Afrika. Lugha ya uchapishaji ni Kiingereza. Kwa maana hii, kukosa kuchapisha kazi ya Fasihi katika AWS, haimaanishi Watanzania Hawajabobea katika kazi za Fasihi. Kwa waliosoma Fasihi shule za sekondari na vyuo, wamesoma kazi nyingi tu za fasihi zilizotayarishwa na Watanzania.
Emanuel mbog ni hatar san wangon wana vision kubwa ya fasih at ndungur
Kwa hiyo unaona nyerere alikuwa mpumbavu kwa kufanya kiswahili kuwa lugha ya kwanza na kingereza ya pili🙄🙄?!Msingi wa lugha ya kiingeleza hatukuwa nao.
Ukiziangalia hizo nchi zote ulizozitaja utaona kuwa zilitawaliwa na Mwingeleza.
Siye kijerumani kabla yakuota mizizi akaja mwingereza.
Naye toka 1920s akatupa Uhuru 1961.
Wakati huko Kenya na Uingeleza mkoloni alikaa tangu 1880s mpaka 1960s.
Msingi wetu ulikuwa hafifu.
Naye Nyerere akaupiga pigo la mwisho kwa kukifanya Kiswahili lugha rasmi ya taifa huku akikipa kiingereza nafasi ya pili.