Brasso
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 354
- 695
Ahaha! Ebu punguza hasira mkuu.wewe ukishapata idadi, wewe na mama yako ndio mnakuwa mmepata dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaha! Ebu punguza hasira mkuu.wewe ukishapata idadi, wewe na mama yako ndio mnakuwa mmepata dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtawala nasema mtawala sio kiongozi kapiga pini kipimo sasa taarifa zitatoka wapi, wewe jikinge wewe na familia yako, yeye kasepaNi swali chokonozi and it is a matter of curiosity. Takribani wiki sasa tangu tutangaziwe maambukizi na vifo vya COVID19. Hata hivyo tangazo hilo lilikuja baada ya kelele kuzidi huku.
Baada ya idadi mpya kutangazwa Mh.Rais alikuja na tuhuma mpya ya kuhisi ama vifaa vya kupima vina matatizo au kuna hujuma inayosababisha idadi kuwa kubwa.
Sambamba na hilo mbunge aliyekuwa akipigania idadi ya wagonjwa isitangazwe alipandishwa cheo.
Baada ya hapo idadi ya maambukizi mapya haijatangazwa tena.
Naomba kujua kwa hiyo baada ya kuonekana vipimo vinachakachua ndio idadi ya maambukizi haitangazwi tena mpaka itakapoamuliwa?
Idadi ya vifo je nayo imesimamishwa
Tutafukunyua kila kitu ili tuhakiki tumefukunyua na kuwabaini waliokwisha nunuliwa na hayo mabeberu yenu. we tulia uyaone manyani na mabeberu yalivyoState Lab. is under lockdown.
Sijui na yale nagari yaliyotolewa na German nayo yanachunguzwa au LA?
Kuna msemo wangu sungura mjanja kala nyama yake na ya fisi....Naona kama kuna mjanja mmoja Tanzania amefanikiwa kuthibiti matokeo ya Corona kuwekwa wazu.....kwanza nani atangaze ili hali aliyepima katumbuliwa?
Kama Corona haipo, basi aproach hii iyafanikiwa na itakua bonge la sifa kwa mtengenazaji filamu...ila kama Coron ipo kweli ,watu watapukutika kama Kumbikumbi maana, saivi mtaani ni kama tatizo limeisha...tahadhari muhimu wala sio kitu cha maana tena....Narudia tena Kama ugonjwa haupo basi aliyetengeneza hii sinema atakua Shujaa....Ila kama ugonjwa upo!!!!??!tutakua a loughing talk duniani. Tuombe
H.T.PKuna msemo wangu sungura mjanja kala nyama yake na ya fisi....Naona kama kuna mjanja mmoja Tanzania amefanikiwa kuthibiti matokeo ya Corona kuwekwa wazu.....kwanza nani atangaze ili hali aliyepima katumbuliwa?
Kama Corona haipo, basi aproach hii iyafanikiwa na itakua bonge la sifa kwa mtengenazaji filamu...ila kama Coron ipo kweli ,watu watapukutika kama Kumbikumbi maana, saivi mtaani ni kama tatizo limeisha...tahadhari muhimu wala sio kitu cha maana tena....Narudia tena Kama ugonjwa haupo basi aliyetengeneza hii sinema atakua Shujaa....Ila kama ugonjwa upo!!!!??!tutakua a loughing talk duniani. Tuombe
Tanzania hakuna CoronaKuna msemo wangu sungura mjanja kala nyama yake na ya fisi....Naona kama kuna mjanja mmoja Tanzania amefanikiwa kuthibiti matokeo ya Corona kuwekwa wazu.....kwanza nani atangaze ili hali aliyepima katumbuliwa?
Kama Corona haipo, basi aproach hii iyafanikiwa na itakua bonge la sifa kwa mtengenazaji filamu...ila kama Coron ipo kweli ,watu watapukutika kama Kumbikumbi maana, saivi mtaani ni kama tatizo limeisha...tahadhari muhimu wala sio kitu cha maana tena....Narudia tena Kama ugonjwa haupo basi aliyetengeneza hii sinema atakua Shujaa....Ila kama ugonjwa upo!!!!??!tutakua a loughing talk duniani. Tuombe
Hahahhaa. Umeenda nje ya madaHalafu ukitaka uone kuwa Wananchi wanamuunga mkono Rais Magufuli waulize kuhusu lockdown
Wanakuambia hatutaki kufungiwa sisi
Wanaotaka kufungiwa ni hawa wanaondesha v8
USA siyo Tanzania. Ndio maana kule kiongozi wa Jimbo anaweza kukataa kuwa Jimbo lake Lockdown isiondolewe tofauti na Bongo mwamzi Ni mmoja. Means kwa democracy ya kule Hakuna namna unaweza ficha taarifaMbona USA kuna uchaguzi lakini wanatoa updates?
Uzuri ni kua afya zao ni mbovu mbovu pia (spanner mkononi) kwahiyo tutegemee watapukutika sana tu kwa uzembe walioufanyaUtopolo tu, ugoro ugoro ndo mambo wanayotufanyia.
Hawako serious na afya zetu wanajijali wenyewe.
We chukua hatua unazoona zinafaa.