Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Jana tuu, Zanzibar tangia hotuba ya yule, wametangaza mala tatu!... wale 7 waliotangazwa Zanzibar jana sio watanzania? Anyway, basi tangazeni hao wengi wanaopona!
PM katangaza maambukizi yamefikia 480Jana Maambukizi ya Bara zima la Afrika yalikuwa juu kwa asilimia 40%
Ushauri wangu kwa Wapendwa Watanzania epuka misongamano na kwa madereva wa Transit goods nawashauri tembeeni usiku msiingie kwenye mahoteli jipikieni chakula mbali na miji.
Mkuu nani anaumwa mbona we mwenyewe uko hapaMna akili timamu kweli?Mficha maradhi kifo humuumbua!Acheni kucheza na maisha ya watanzania!Eti maambukizi yameacha kusambaa baada ya hotuba ya Rais,shame!
Kama jambo au unajua watu waliokufa si wataje wewe badala kuja mawazo yako au taarifa zisizokuwa rasmi.
Mpaka mimi niumwe?Mimi ninejiongeza na familia yangu,kwasasa nimeipeleka huko kwa bibi yao kijijini kuwaepusha na hili janga!Kama JPM kajificha na familia yake halafu wewe anakwambia ni kaugonjwa kadogo,ukimsikiliza utakuwa una matatizo ya akili!Mkuu nani anaumwa mbona we mwenyewe uko hapa
Wameyafukiza hayo ni zaidi ya hapoPM katangaza maambukizi yamefikia 480
DC Mtwara imekuwaje?Mtu amezikwa na serikali kwa uangalizi maalum na watu wasiozidi 10 tena amezikwa huko huko ambako sio kwao!Za kuambiwa changanya na zako!Kama jambo au unajua watu waliokufa si wataje wewe badala kuja mawazo yako au taarifa zisizokuwa rasmi.
Sawa mkuu October usiache kuchagua ccmMpaka mimi niumwe?Mimi ninejiongeza na familia yangu,kwasasa nimeipeleka huko kwa bibi yao kijijini kuwaepusha na hili janga!Kama JPM kajificha na familia yake halafu wewe anakwambia ni kaugonjwa kadogo,ukimsikiliza utakuwa una matatizo ya akili!
Mimi siku atakaporudi mjini ndio nitaanza kufikiria kuirudisha familia yangu,else ngoja nipambane mwenyewe huku nikichukua tahadhari!Za kuambiwa changanya na zako!Umeangalia jana BBC swahili?Kama hukuangalia tafuta habari hiyo ndio urudi hapa!
Wacha kubambiwa hovyo hovyo kijanaWewe ulitakaje? Au ulitaka usikie vifo au wameongezeka maelfh ndo uamini?
Mnafeli sana.
Haya waziri mkuu kasema wamefika 480!Tatizo lenu ni ubishi tu kisa mnatetea au kulinda ugali wenu!ShameSawa mkuu October usiache kuchagua ccm
Hamia Nchi ambayo unafikiri wanazo hizo daily briefing.