Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

Kwani ile dawa from Madagascar hawajaanza kugawa au mpaka chato bureau standard wathibitishe? 🤒
 
Nchi ipo pabaya sana tusifanye makosa wakati ujao.
 
Tulia kwanza...

Tupo kwenye research... Kuna mijitu inataka taarifa za tawkimu zetu, hatutoi ngo'



Cc: mahondaw
 
Mh. Mbowe akisema ana Press nchi nzima inasimama kusubiri kuna nini, ila mtaa wa saba duh
 
Mbowe aogope hivi vijela vyenu !
Sawa hatukatai kila mtu ana iman na kiongoz wake lakin ifikie kipindi tuheshimu sheria na kanuni za nchi pasipokusahau kuheshimu na maagizo yanayotoka serikali tawala.
Nnchoamin Tanzania ni kubwa kuliko mbowe na mbowe si mkubwa mkubwa kuliko Tanzania lakin mawazo finyu ya kiongoz mkubwa na mkongwe kama mbowe anataka kupata umaharufu kupitia janga lililopo sasa!!
Anyway acha tukubali ndio mbowe akaitisha mkutano na watu wakaathirika na covid-19
JE UPINZANI MTAFAIDIKA NA NINI!!?
JE SISI WANANCHI TUTAFAIDIKA NA NINI!!?
JE SERIKALI ILIYOPO ITAFAIDIKA NA NINI!!?
Hebu tuache kutoa mawazo mgando jaman kusambaa kwa huu ugonjwa hakutomwacha yoyote salama sio mheshimiwa wala sio mbowe mwenyewe!!
Mwisho niishie kusema kwamba nna mheshimu sana mbowe ni kiongozi mkubwa na mkongwe sana ndani ya chadema na kambi ya upinzani kwa ujumla but atambue kwamba siku zote unaweza ukafanya mazuri elfu lakini kosa moja tu likaharibu kila kitu!!!
October sio mbali ni swala la muda tu
 
Karibu shangwe jumapili mkuu
 
Hamna mwana CCM anae mwogopa mpinzani awamu ya Jiwe, ni ndoto labda bwashemeji Msigwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…