Chief Mtangi
Member
- May 11, 2020
- 73
- 119
Kwani ile dawa from Madagascar hawajaanza kugawa au mpaka chato bureau standard wathibitishe? 🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ipo pabaya sana tusifanye makosa wakati ujao.Sote tumeshuhudia jinsi taarifa juu ya uhalisia wa janga la virus vya korona nchini zinavyokanyagwa na ambavyo viongozi wetu hawapendi tuujue ukweli. Wapo viongozi wameenda mbali na kupendekeza kuwa mamlaka zisitangaze idadi ya maambukizi, na hata wengine wamejaribu kutia siasa na propaganda kuwa Vipimo vinadanganya.
Sidhani kama wako sahihi, ingawa nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa ikiwemo je haya yote Ni kwa sababu chama tawala kinaogopa Kama kitawapa taarifa sahii wananchi juu ya madhara yaliyosababishwa na yanayoendelea kusababishwa na korona kinaweza kupoteza uchaguzi ujao?
View attachment 1456401
Baada ya Mbowe kuitisha tena mikutano ya hadhara iliyositishwa kwa sababu ya Janga la corona , haitapita nusu saa Waziri wa Afya atatangaza idadi ya maambukizi mapya na vifo .
Huyu mtu anaogopwa mno !
Mbowe aogope hivi vijela vyenu !Kwani jela imejaa ndugu...?
mmetengeneza nini ?Siku zote mawazo ya wanakaldayo ni kuharibu panapotengenezwa
Wapi nimeandika mbowe aende jela..?Mbowe aogope hivi vijela vyenu !
Mh. Mbowe akisema ana Press nchi nzima inasimama kusubiri kuna nini, ila mtaa wa saba duh
Hahahaaaa....... Kazi kweli kweli!
Sawa hatukatai kila mtu ana iman na kiongoz wake lakin ifikie kipindi tuheshimu sheria na kanuni za nchi pasipokusahau kuheshimu na maagizo yanayotoka serikali tawala.Mbowe aogope hivi vijela vyenu !
Malizaneni kwanza migogoro iliyopo ndani ya chama chenu kisha muitishe huo mkutanommetengeneza nini ?
Karibu shangwe jumapili mkuuSawa hatukatai kila mtu ana iman na kiongoz wake lakin ifikie kipindi tuheshimu sheria na kanuni za nchi pasipokusahau kuheshimu na maagizo yanayotoka serikali tawala.
Nnchoamin Tanzania ni kubwa kuliko mbowe na mbowe si mkubwa mkubwa kuliko Tanzania lakin mawazo finyu ya kiongoz mkubwa na mkongwe kama mbowe anataka kupata umaharufu kupitia janga lililopo sasa!!
Anyway acha tukubali ndio mbowe akaitisha mkutano na watu wakaathirika na covid-19
JE UPINZANI MTAFAIDIKA NA NINI!!?
JE SISI WANANCHI TUTAFAIDIKA NA NINI!!?
JE SERIKALI ILIYOPO ITAFAIDIKA NA NINI!!?
Hebu tuache kutoa mawazo mgando jaman kusambaa kwa huu ugonjwa hakutomwacha yoyote salama sio mheshimiwa wala sio mbowe mwenyewe!!
Mwisho niishie kusema kwamba nna mheshimu sana mbowe ni kiongozi mkubwa na mkongwe sana ndani ya chadema na kambi ya upinzani kwa ujumla but atambue kwamba siku zote unaweza ukafanya mazuri elfu lakini kosa moja tu likaharibu kila kitu!!!
October sio mbali ni swala la muda tu
Kila ukoo haukosi mtu chizi sie kwetu tushamjua na tumemkubali ila kwenu nyie inatia huruma baba mwenyew ni chiziKaribu shangwe jumapili mkuu