Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Mpuuzi mmojaJibu moja ya kipuuzi kutoka kwa........
Huyo 'lelemama' ndo nan!??BBC wajue hii Sio Serkali ya lelemama
Shirika la Utangazaji BBC Swahili limesema sasa wananchi wameanza kuhoji kupitia mitandao ya kijamii serikali ya nchi hiyo kupitia wizara ya Afya kukaa kimya kuhusu kutoa taarifa za visa vya maambukizi na wagonjwa nchini humo
Mwandishi kutoka Dodoma amesema huenda wizara inatekeleza amri ya Rais aliyoitoa hivi karibuni kutoka Chato
NB,Tuendelee kupasa sauti kwenye mitandao ya kijamii ili serikali utupe hali halisi ya ugonjwa huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirika la Utangazaji BBC Swahili limesema sasa wananchi wameanza kuhoji kupitia mitandao ya kijamii serikali ya nchi hiyo kupitia wizara ya Afya kukaa kimya kuhusu kutoa taarifa za visa vya maambukizi na wagonjwa nchini humo
Mwandishi kutoka Dodoma amesema huenda wizara inatekeleza amri ya Rais aliyoitoa hivi karibuni kutoka Chato
NB,Tuendelee kupasa sauti kwenye mitandao ya kijamii ili serikali utupe hali halisi ya ugonjwa huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka tuanze kuweka hapa orodha ya wanaccm waliokufa , wanaoumwa na waliokimbilia shamba kwa sababu ya corona ?Leo kamamanda imemuondoaView attachment 1432849
Acha ujinga.Umeshaambiwa " wengi".............uwe unaelewa bwashee!
Kweri nimeamin wafrika tuna fikra mgando na ndo maana hatusogei kwa nawazo haya!!!!! .yaan aliefanya inchi itafunwe pande zote ,uozo juu ya uozo ,unakimbia mavi unafuata kunyesiUkiacha hizo briefing, awamu hii, nchi inaendeshwa kadri jamaa alivyoamka siku husika.
Akisema hili sitaki, basi inakuwa kama sheria. Kasema hataki daily briefs ili ije isemwe mafanikio ya awamu ya tano hakuna maambukizi ya corona.
Nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanamahutumu Jakaya safari zake nje ya nchi. Muda umesema Jakaya was by far better.
Kumradhi Mzee Kikwete.
Sasa unamtaka huyu headless chicken aendelee kuharibu?Kweri nimeamin wafrika tuna fikra mgando na ndo maana hatusogei kwa nawazo haya!!!!! .yaan aliefanya inchi itafunwe pande zote ,uozo juu ya uozo ,unakimbia mavi unafuata kunyesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia Nchi ambayo unafikiri wanazo hizo daily briefing.
We have a family to feed. Alisikika waziri wa afya akijibu hoja mbungeni.Sasa unamtaka huyu headless chicken aendelee kuharibu?
You are equally a clueless creature. Angalia media censorship. That makes the difference. Ingekuwa media ina freedom kama wakati wa Jakaya, sasa tuna uozo kuwahi kutokea nchi hii.
Au kama hakuna vifo wala maambukizi si tangazeni basi !
Kwanza mitaa ya Dar-es-salaam usiende kuzurura - unaongeza msongamano. Pili, umeisha ona ambulance nyingi kana kwamba kuna vita - hiyo inatosha kuku hamasisha kujilinda na kuacha kuzurura mitaa ya Dar es Salaam! Sasa kama hushituki na hiyo unashituka na number itakayo tangazwa na serikali, subiri watu wasiozidi 10 wakuage!View attachment 1432832
Tunaambiwa tusizurure bila sababu ya msingi ili kukwepa maambukizi , lakini idadi ya wagonjwa wapya hatuambiwi ! kiongozi anakufa tunaambiwa atazikwa na watu 10 tu bila hata maelezo ya ziada , huku baadhi ya marehemu wengine wakizikwa na zaidi ya watu 10 !
Nchi zote zinazotuzunguka zinatoa taarifa mara kwa mara kuhusu maambukizi ya corona kiasi kinachowahamasisha wananchi wake kujilinda zaidi , sasa pita mitaa ya DSM
ujionee mwenyewe misongamano isiyo
na tahadhari yoyote ile.
Ambulance zimeongezeka mitaani utadhani kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe , huku imechukua maiti kule imechukua mgonjwa , hali hii inaleta Taharuki kwa wananchi kiasi cha kuleta hofu kubwa sana .
Hapa Tanzania serikali ina mpango gani , kwanini imeacha mambo hewani tu ili kila mtu aseme lake?
Tunataka precision, kwani hii serikali wamejaa wasomi.Umeshaambiwa " wengi".............uwe unaelewa bwashee!