Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Cku hiz hatuna CORONA, ila tuna ugonjwa mpya unaitwa "Upungufu katika kupumua"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri .Kupanga ni kuchagua corona ni kaugonjwa katapita msihofu.Yapo magonjwa mengi yanaua malalia,BP,Sukari nk tusipeane hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au " Changamoto ya kupumua "Cku hiz hatuna CORONA, ila tuna ugonjwa mpya unaitwa "Upungufu katika kupumua"
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshaambiwa " wengi".............uwe unaelewa bwashee!
ngoja tuingie kazini
Wamekufa milioni Saba. Naona rohoo yako imefurahi sasaView attachment 1432832
Tunaambiwa tusizurure bila sababu ya msingi ili kukwepa maambukizi , lakini idadi ya wagonjwa wapya hatuambiwi ! kiongozi anakufa tunaambiwa atazikwa na watu 10 tu bila hata maelezo ya ziada , huku baadhi ya marehemu wengine wakizikwa na zaidi ya watu 10 !
Nchi zote zinazotuzunguka zinatoa taarifa mara kwa mara kuhusu maambukizi ya corona kiasi kinachowahamasisha wananchi wake kujilinda zaidi , sasa pita mitaa ya DSM
ujionee mwenyewe misongamano isiyo
na tahadhari yoyote ile , Ambulance zimeongezeka mitaani utadhani kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe , huku imechukua maiti kule imechukua mgonjwa , hali hii inaleta Taharuki kwa wananchi kiasi cha kuleta hofu kubwa sana .
Hapa Tanzania serikali ina mpango gani , kwanini imeacha mambo hewani tu ili kila mtu aseme lake ?
Kuerewa= ×
Au kama hakuna vifo wala maambukizi si tangazeni basi !Maana hizo zimesha expire..
Mkileta nyingine tutajua kweli Hali mbaya...
na Mkileta za mazishi ya maiti 100 kwenda mbele itakuwa vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kila MwanaCCM na mtu yeyote mwenye mahaba na makufuli kama wewe, akipatwa na coronavirus huwa nafanya sherehe kubwa sana na familia yangu. Hatuwezi kuendeshwa na WEHU wachache kama ninyi.Nimetoa ushauri tu.
Mimi kila MwanaCCM na mtu yeyote mwenye mahaba na makufuli kama wewe, akipatwa na coronavirus huwa nafanya sherehe kubwa sana na familia yangu. Hatuwezi kuendeshwa na WEHU wachache kama ninyi.Hamia Nchi ambayo unafikiri wanazo hizo daily briefing.
Kabla ya kuuliza bbc wamekuaa lini wema jiulize wewe umekua lini mwema kwa wananchi wako/wenzako.Kila nchi inapambana kivyake, hao BBC ni lini walikuwa wema kwetu.?
Kabla ya corona wakufia barabarani walikuwepo na wataendelea kuwapo sana hata baada ya corona.Uzuri ni kwamba Corona ni sawa na mimba huwezi ficha, watu wameshaanza kufia mitaani na barabarani huko. Serekali itaumbuka tu!
HahahahaMzee baba keshasema "wewe Ummy hakuna kutangaza idadi ya wagonjwa tena uliotangaza yatosha acha waendelee kujifukiza huko"
Sent using Jamii Forums mobile app