sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Mzee baba keshasema "wewe Ummy hakuna kutangaza idadi ya wagonjwa tena uliotangaza yatosha acha waendelee kujifukiza huko"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuongoza watz ni sawa na kuongoza maiti.Shirika la Utangazaji BBC Swahili limesema sasa wananchi wameanza kuhoji kupitia mitandao ya kijamii serikali ya nchi hiyo kupitia wizara ya Afya kukaa kimya kuhusu kutoa taarifa za visa vya maambukizi na wagonjwa nchini humo
Mwandishi kutoka Dodoma amesema huenda wizara inatekeleza amri ya Rais aliyoitoa hivi karibuni kutoka Chato
NB,Tuendelee kupasa sauti kwenye mitandao ya kijamii ili serikali utupe hali halisi ya ugonjwa huu
Sent using Jamii Forums mobile app
serikali haina dini.Madam Ummy yupo kwenye mfungo, msije mkamharibia funga yake kwakutaka awape data za uongo. Ni bora kukaa kimya kuliko kuongopa saizi akitoa mjue anatoa taarifa halisi na sio za wagonjwa 108 kupona ndani ya Siku moja baada ya hotuba.
Tuendelee kuifukiza tu, kiuhalisia hata Idadi ya wanao vaa barakoa imepungua mtaani na watu wameshaanza kuchukulia poa ugonjwa huu, ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
🖕
Umeshaambiwa " wengi".............uwe unaelewa bwashee!View attachment 1432832
Tunaambiwa tusizurure bila sababu ya msingi ili kukwepa maambukizi , lakini idadi ya wagonjwa wapya hatuambiwi !
Nchi zote zinazotuzunguka zinatoa taarifa mara kwa mara kuhusu maambukizi ya corona kiasi kinachowahamasisha wananchi wake kujilinda zaidi , hapa Tanzania serikali ina mpango gani ?