Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi.

Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu maambukizi,waliopona na waliofariki.

Au hapa Tanzania ndio kusema mambo yanaenda kimya kimya? Maana watu kila kukicha ni kutishwa tu na habari ambazo sio rasmi.

Mara tunasikia watu wanazikwa usiku, mara tunasikia rubani wa Tanapa alikufa kwa Covid-19,mara kuna maiti imekaa siku mbili mtaa wa Lumumba. Lakini hatusikii serikali ikikanusha wala kuwaambia ukweli wananchi.

Kwa jinsi hili janga lilivyo serious ilipaswa waziri wa afya au msemaji wa serikali angekuwa kila siku anakaa na wanahabari na kutoa takwimu na taarifa rasmi.

Lakini mtu mmoja ambae anamiliki jarida la mtandaoni (Pambazuka) anapoachiwa awe anaandika habari za uongo kuwa watu wanazikwa usiku kimya kimya ni jambo baya maana watu hofu inazidi kwa wananchi.

Inatoka habari kuwa madereva wanne watanzania wamepimwa huko Uganda na kukutwa na ugonjwa wa Covid-19. Hofu inazidi kuwa kubwa kwa wananchi.
Hivyo ili kuondoa hofu lazima mtupatie taarifa rasmi,kama nchi tupo wapi?

Maambukizi ni mengi? Yamepungua? Na wanaopona ni kiasi gani? Hii iwe kila siku na mruhusu kupigwa maswali na waandishi wa habari kama Andrew Cuomo gavana wa New York anavyofanya kila siku. Maana hatulali ni hofu tu.
Briefing ya nini kama wauguzi na ma dakitari hawana vifaa. Wizara ya afya ilishindwa kabisa kumshauri rais, ikawa inafanya porojo. Halafu Waziri kila siku kazi kutia presha watu.
 
Ukiacha hizo briefing, awamu hii, nchi inaendeshwa kadri jamaa alivyoamka siku husika.

Akisema hili sitaki, basi inakuwa kama sheria. Kasema hataki daily briefs ili ije isemwe mafanikio ya awamu ya tano hakuna maambukizi ya corona.

Nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanamahutumu Jakaya safari zake nje ya nchi. Muda umesema Jakaya was by far better.

Kumradhi Mzee Kikwete.
 
Wewe data zinakusaidia nini ? Cha msingi zingatia maelekezo ya wataalamu ujikinge hizo habari za umbea achia wakina carry mastory wa Insta.

Nobody.
Ni Lazma tupate data kamili ili kutuondoa Hofu...

Pamoja na maambukizi kuzidi kila Cku kenya lkn bado waziri wa Afya na raisi wanayatangaza na kuwapa Moyo wakenya.. Kila siku wanawapa data na kuwakumbusha kujikinga kwa kufuata maelekezo

Ma governor wa county mfano Mombasa wanajitahidi mpaka wananchi wanafarijika

Huku kwetu hatuna mfariji... Hatuna wa kutupa taarifa sahihi.. Mpaka tungojee walioko unuio ndo watuhesabie trip gari za halmashauri zilizopita.. So sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio huu upotoshaji unatakiwa kutolewa ufafanuzi kila siku.
Chagu kuna siku utajua kuwa taifa hili lilikosea kufuata sera na itikadi za ki communist. Kwenye u communist hakuna uhuru wa habari. Mfano ni North Korea, China , Russia na hata Tanganyika. Huko zinaabudiwa ama vyama tawala au viongozi . Anachotamka kiongozi ni final hata kama mawazo yake si sahihi .

Hapa kwetu maadhal mamlaka hazitaki kupanikisha wananchi , usitarajie kupata hizo update zenye usahihi. Zitatoka wanazotaka not otherwise.

Odhis *
 
Jaduong sikubaliani na wewe kama eti kwa kuwa tulikuwa wajamaa basi hakuna ukweli kwenye kutoa takwimu.
Dunia ya sasa imebadilika sana ndio maana China wanatoa takwimu na daily briefs,hata russia pia.
Hoja yangu ili kupata taarifa rasmi ili kuondoa mikanganyiko kwenye jamii inapaswa tuwe tunapata taarifa kila mara amabazo ni rasmi.
 
Nyinyi waimba taarab ndiyo muelewe kwanini watu wanahoji baadhi ya mambo. Waziri na wizara unawalaumu kwa lipi ?! Ikiwa wameidhinishiwa 100% lakini wamepewa 15% . Atanunua nini na 15% ?!. Tumia akili kidogo tu.
Briefing ya nini kama wauguzi na ma dakitari hawana vifaa. Wizara ya afya ilishindwa kabisa kumshauri rais, ikawa inafanya porojo. Halafu Waziri kila siku kazi kutia presha watu.

Odhis *
 
Jaduong sikubaliani na wewe kama eti kwa kuwa tulikuwa wajamaa basi hakuna ukweli kwenye kutoa takwimu.
Dunia ya sasa imebadilika sana ndio maana China wanatoa takwimu na daily briefs,hata russia pia.
Hoja yangu ili kupata taarifa rasmi ili kuondoa mikanganyiko kwenye jamii inapaswa tuwe tunapata taarifa kila mara amabazo ni rasmi.
Huwezi kupewa hizo takwimu unless bosi aridhie. Ummy mtamlaumu bure.

China hiyo unayoisema imebidi ibanwe kimataifa ndiyo juzi wamerekebisha takwimu zao, Napo bado wanasema si sahihi.

Amini usianini u communist ni tatizo hasa la Tanganyika. Tunajifanya hatuna Corona, lakini malori yetu yakienda nje almost nusu ya madereva wetu ni victims !!

Odhis *
 
Kuna wapumbavu kama mtoa mada anatamani kuona vifo vingi vikitokea kama Italy [emoji634]

Sent using IPhone X
 
Hata Leo Jumatatu, hakuna taharifa zozote, wakati huku mtaani Ambulance kilwa Road kila mda Ambulance zinaenda zinarudi, Na gari lao la maiti. Ngoja tukae kimya maana, akili kichwani Mwako, Maana kikosi kazi kimejipanga haswa safari hii baada ya Mzee kukemea hili la ongezeko la wagonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kwa sasa imebakia kuangalia Aljazeer CNN na BBC at least ndo upate kujua hali halisi na ww kuendelea kutake care
 
Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi.

Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu maambukizi,waliopona na waliofariki.

Au hapa Tanzania ndio kusema mambo yanaenda kimya kimya? Maana watu kila kukicha ni kutishwa tu na habari ambazo sio rasmi.

Mara tunasikia watu wanazikwa usiku, mara tunasikia rubani wa Tanapa alikufa kwa Covid-19,mara kuna maiti imekaa siku mbili mtaa wa Lumumba. Lakini hatusikii serikali ikikanusha wala kuwaambia ukweli wananchi.

Kwa jinsi hili janga lilivyo serious ilipaswa waziri wa afya au msemaji wa serikali angekuwa kila siku anakaa na wanahabari na kutoa takwimu na taarifa rasmi.

Lakini mtu mmoja ambae anamiliki jarida la mtandaoni (Pambazuka) anapoachiwa awe anaandika habari za uongo kuwa watu wanazikwa usiku kimya kimya ni jambo baya maana watu hofu inazidi kwa wananchi.

Inatoka habari kuwa madereva wanne watanzania wamepimwa huko Uganda na kukutwa na ugonjwa wa Covid-19. Hofu inazidi kuwa kubwa kwa wananchi.
Hivyo ili kuondoa hofu lazima mtupatie taarifa rasmi,kama nchi tupo wapi?

Maambukizi ni mengi? Yamepungua? Na wanaopona ni kiasi gani? Hii iwe kila siku na mruhusu kupigwa maswali na waandishi wa habari kama Andrew Cuomo gavana wa New York anavyofanya kila siku. Maana hatulali ni hofu tu.
Madascar imesema imegundua dawa lakini cnn na Al Jazeera wanasema siyo dawa lakini hata kopo kuligusa hawajagusa. Wewe endelea na hiyo nadharia yako.Nakukumbusha hivi corona wagonjwa wapo Amana na Mloganzila ila happy cnn na Al Jazeera wanaonesha Namtumbo vijijini kwenye zahanati halafu wanasema Africa hali ni mbaya Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika la Utangazaji BBC Swahili limesema sasa wananchi wameanza kuhoji kupitia mitandao ya kijamii serikali ya nchi hiyo kupitia wizara ya Afya kukaa kimya kuhusu kutoa taarifa za visa vya maambukizi na wagonjwa nchini humo.

Mwandishi kutoka Dodoma amesema huenda wizara inatekeleza amri ya Rais aliyoitoa hivi karibuni kutoka Chato.

NB,Tuendelee kupasa sauti kwenye mitandao ya kijamii ili serikali utupe hali halisi ya ugonjwa huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika la Utangazaji BBC Swahili limesema sasa wananchi wameanza kuhoji kupitia mitandao ya kijamii serikali ya nchi hiyo kupitia wizara ya Afya kukaa kimya kuhusu kutoa taarifa za visa vya maambukizi na wagonjwa nchini humo

Mwandishi kutoka Dodoma amesema huenda wizara inatekeleza amri ya Rais aliyoitoa hivi karibuni kutoka Chato

NB,Tuendelee kupasa sauti kwenye mitandao ya kijamii ili serikali utupe hali halisi ya ugonjwa huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi mama yetu ameshapigwa Pini kiaina.
 
Back
Top Bottom