Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

Tatizo adui wa movie hii ni katili hana mchana wala usiku ye anakuteka wazi wazi, ana hata akiona mpo shazi haofii atapiga risasi juu kutawanya nzi kisha mamwela wanakubeba kirahisi tu

Huyu adui ni zaidi ya cyborg
 
baada ya amri kesho yake gafla wapone 108, pale tunapochanganya sayansi na siasa, majibu ya hili tutayaona wenyewe...Epuka misongamano, nawa mikono kwa sabuni na maji yanayotiririka kila mara# ..stay safe, stay at home...[emoji111]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshaambiwa kaugonjwa chenyewe kadogo...sasa daily data za nini
 
Kama mnazo data zenu basi zileteni hapa, sio kulialia tu.
 
Cha muhimu ni kutambua kuwa CORONA bado ipo kwa hiyo chukua hatua kujikinga usiambukizwe.
Watoe taarifa au wasitoe cha muhimu ni wewe kujikinga
 


Kama unataka hali halisi ya wagonjwa au vifo kutokana na COVID-19, anza nyumbani kwako, nyumba za jirani na mtaa mzima, ambako una taarifa ya uhakika. Ukifika kwenye shughuli zako ongeza taarifa kutoka kwa wafanyakazi wenzako au wateja wako. Hakika utakuwa na taarifa iliyo sahihi.

Lakini kwa nini ujiangaishe hivyo? La msingi JILINDE UMLINDE JIRANI.
 
Kweri nimeamin wafrika tuna fikra mgando na ndo maana hatusogei kwa nawazo haya!!!!! .yaan aliefanya inchi itafunwe pande zote ,uozo juu ya uozo ,unakimbia mavi unafuata kunyesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweri nimeamin wafrika tuna fikra mgando na ndo maana hatusogei kwa nawazo haya!!!!! .yaan aliefanya inchi itafunwe pande zote ,uozo juu ya uozo ,unakimbia mavi unafuata kunyesi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unamtaka huyu headless chicken aendelee kuharibu?

You are equally a clueless creature. Angalia media censorship. That makes the difference. Ingekuwa media ina freedom kama wakati wa Jakaya, sasa tuna uozo kuwahi kutokea nchi hii.
 
Sasa unamtaka huyu headless chicken aendelee kuharibu?

You are equally a clueless creature. Angalia media censorship. That makes the difference. Ingekuwa media ina freedom kama wakati wa Jakaya, sasa tuna uozo kuwahi kutokea nchi hii.
We have a family to feed. Alisikika waziri wa afya akijibu hoja mbungeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameshachoka kuhesabu, nikifikiria hao wanaoanguka sehemu tofauti, jiulize ni wangapi wanaotembea na hivyo virusi?

Kwasababu anayeanguka leo anaweza kuwa jirani yako, ujue na wewe utaanguka kesho, na mwingine ataanguka kesho kutwa, inshort tutakwisha, tunaambukizana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mitaa ya Dar-es-salaam usiende kuzurura - unaongeza msongamano. Pili, umeisha ona ambulance nyingi kana kwamba kuna vita - hiyo inatosha kuku hamasisha kujilinda na kuacha kuzurura mitaa ya Dar es Salaam! Sasa kama hushituki na hiyo unashituka na number itakayo tangazwa na serikali, subiri watu wasiozidi 10 wakuage!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…