residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Umeelewa mantiki ya mwanzisha uzi!?Sawa hatukatai kila mtu ana iman na kiongoz wake lakin ifikie kipindi tuheshimu sheria na kanuni za nchi pasipokusahau kuheshimu na maagizo yanayotoka serikali tawala.
Nnchoamin Tanzania ni kubwa kuliko mbowe na mbowe si mkubwa mkubwa kuliko Tanzania lakin mawazo finyu ya kiongoz mkubwa na mkongwe kama mbowe anataka kupata umaharufu kupitia janga lililopo sasa!!
Anyway acha tukubali ndio mbowe akaitisha mkutano na watu wakaathirika na covid-19
JE UPINZANI MTAFAIDIKA NA NINI!!?
JE SISI WANANCHI TUTAFAIDIKA NA NINI!!?
JE SERIKALI ILIYOPO ITAFAIDIKA NA NINI!!?
Hebu tuache kutoa mawazo mgando jaman kusambaa kwa huu ugonjwa hakutomwacha yoyote salama sio mheshimiwa wala sio mbowe mwenyewe!!
Mwisho niishie kusema kwamba nna mheshimu sana mbowe ni kiongozi mkubwa na mkongwe sana ndani ya chadema na kambi ya upinzani kwa ujumla but atambue kwamba siku zote unaweza ukafanya mazuri elfu lakini kosa moja tu likaharibu kila kitu!!!
October sio mbali ni swala la muda tu