Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Sio kazi mana hakuna grand corruption na kuiba.Kazi ni zile kuna mwanya wa kua mwizi
Hapana. Kazi ni ile unafuatwa nyumbani na gari asubuhi na kurudishwa.

Kwa mwezi unakaa ofisini wiki moja tu, nyingine zote uko kwenye semina, warsha ama makongamano.

Halafu mshahara ni mnono lkn wala huutumii kwasabb kuna allowance kibao
 
Sio kazi mana hakuna grand corruption na kuiba.Kazi ni zile kuna mwanya wa kua mwizi
Walimu wengi hawapo smart kutokana na stress za maisha na kutaka kufanya Mambo ambayo yapo juu ya uwezo wao..ndo maana nimeskia mpaka wanauana kwa kugombania cheo🤣 hata post tu hapa wakipost Walimu Ni shida shida mtu anauliza kwani PhD inamsaada gani kwenye kufundsha?😭 Kuna mwngne ana diploma anaenda kusoma ADEM Cirtificate 🤣 mwngne yy wanamwita wakilabuni muda wote pombe😭 mwngne salary ikitoka anapotea mpaka iishe🤣🤣
Walimu jiendelezeni kielimu mtachizika na hyo kazi
 
Hapana. Kazi ni ile unafuatwa nyumbani na gari asubuhi na kurudishwa.

Kwa mwezi unakaa ofisini wiki moja tu, nyingine zote uko kwenye semina, warsha ama makongamano.

Halafu mshahara ni mnono lkn wala huutumii kwasabb kuna allowance kibao
Kazi yyote Ile ni nidhamu na kuwa na mipango madhubuti bila kujali unafatwa na gari au unaenda kwa miguu, tatizo Walimu wengi utoto ni mwingi sana kila mtu anajifanya mjuaji na kuchomana kwa maboss🤣
"Siku hz wanasema ualimu syo kazi kutokana na kushuka kwa haiba ya mwalim unaenda shule unakuta ticha kavaa Kama anafyatua tofar🤣
 
Siku hz wanasema ualimu syo kazi kutokana na kushuka kwa haiba ya mwalim unaenda shule unakuta ticha kavaa Kama anafyatua tofar🤣
Ualimu siyo kazi tangu zamani mkuu. Ndiyo maana Nyerere, Mwinyi, Majaliwa, na Magufuli wote waliukimbia. Ualimu siyo kazi. Kazi lazima iwe na kipato.

Hao unaowaona wanavaa kama wnafyatua tofali hawafanyi hivyo kwa kupenda. Ni kwasabb mishahara yao haikutani.
 
🤣🤣🤣Sawa mkuu pamoja sana
 
Hapana. Kazi ni ile unafuatwa nyumbani na gari asubuhi na kurudishwa.

Kwa mwezi unakaa ofisini wiki moja tu, nyingine zote uko kwenye semina, warsha ama makongamano.

Halafu mshahara ni mnono lkn wala huutumii kwasabb kuna allowance kibao
Wote hatuwezi kupata kazi kubwa kubwa,hata huo ualimu mnaoudharau. Ajira zake ni za tabu.Sisi tunaotokea familia masikini tunaanzia huko kwanza.Nyie wazazi wenu wenye Connection aheri yenu.Tulitaka ajira za haraka tuoe mapema.Pia wanawake wengi wanapenda walimu na pia hata wewe unawapenda walimu mana wanamuelimisha mwanao.Kama unajua sana kaa na mwanao umfundishie kwako
 
Walimu wengi hawapo smart kutokana na stress za maisha na kutaka kufanya Mambo ambayo yapo juu ya uwezo wao..ndo maana nimeskia mpaka wanauana kwa kugombania cheo[emoji1787] hata post tu hapa wakipost Walimu Ni shida shida mtu anauliza kwani PhD inamsaada gani kwenye kufundsha?[emoji24] Kuna mwngne ana diploma anaenda kusoma ADEM Cirtificate [emoji1787] mwngne yy wanamwita wakilabuni muda wote pombe[emoji24] mwngne salary ikitoka anapotea mpaka iishe[emoji1787][emoji1787]
Walimu jiendelezeni kielimu mtachizika na hyo kazi
Kwa hiyo walimu ndio wanaokunywa pombe?
 
Afu pia huwezi kuwini maisha kwa kutegemea kuajiriwa.Hata uwe nani utakua na maisha ya kawaida.May be uwe mwizi na wengi wametumbuliwa wakitaka maisha ya juu.Ishi kama wewe usiige life style ya mtu
 
mbona unapaniki Sana Kwan wewe shida yako Ni nini? Hutaki Walimu wenye Masters wawekewe muundo wa kiutumishi kwani ww umekatazwa kwenda kusoma? ndo maana Walimu wanaonekanaga wanaakili za kitoto hzo hela umeambiwa itazitoa familia yako [emoji1].

Ona ulivyo na akili ndogo, the way nilivyo comment means mio sio mwalimu.

Suala sio masters za ualimu zisiwe kwenye muundo suala ni hizo masters zinaongeza tija gani kwa kufundisha sekondari?

Watu hawalipwi kwa makaratasi wanalipwa kwa tija wanayoongeza.
 
Yani Eti mambo yakiwa ni yale yale business as usual halafu Eti mtu kwakuwa kufanya ajuavyo kaleta cheti cha masters aongezewe mshahara au apandishwe cheo?

Mpime kichwani sasa uone hiyo master’s degree kama ina reflect nyongeza ya ufahamu wake kwenye utendaji katika kuleta tija, hakuna tofauti na mwenye Diploma!

Wanafikiri sawa, wanatenda sawa mwenye masters na mwenye diploma.

Hapana aisee !

Tujisikie kuwiwa katika kutumikia Wananchi wa Taifa hili.

Kama Watumwa wasio na faida!
 
Ni mambo muhimu ya kutazama katika taifa letu. Akina "unanijua mimi ni nani" hawatafurahi wakiona mtu mwenye elimu zaidi yao. Afisa elimu wa wilaya ana degree, hata penda kuona waalimu waliomzidi elimu wilayani kwake. Naona kielimi tuishi kijeshi, tumechoka sasa. Ni marufuku katika shule ya sekondari mkuu wa idara awe na elimu ndogo kuliko anaowaongoza.
Ni hapa kwetu tu unakuta afsa elimu wilaya ana elimu ndogo kuliiko anaowaongoza. Halafu hawa viongozi wa elimu hakuna wanachokijua zaidi ya kufokea na kutisha walimu.
 
Kwa kuzingatia Aina ya Walengwa/Wateja/Wanafunzi, Ukubwa wa kazi yenyewe na Mazingira tuliyopo KAZI YA UALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI elimu ya DIGRII MOJA INATOSHA. zaidi zaidi hao walimu walipaswa kujikita kwenye kwenda kujipatia mafunzo mafupi ya Mbinu za ufundishaji. Elimu ya Masters nk nk hazina nafasi kwa Kiwango hicho cha kazi. Workload ya Ualimu haiiitaji hizo Masters zenu. Msilazimishe kuuua sisimizi kwa AK 47
Mawazo ya hovyo sana haya, mbona nchi zingine wanatambua kiwango hiki cha elimu?
 
Ona ulivyo na akili ndogo, the way nilivyo comment means mio sio mwalimu.

Suala sio masters za ualimu zisiwe kwenye muundo suala ni hizo masters zinaongeza tija gani kwa kufundisha sekondari?

Watu hawalipwi kwa makaratasi wanalipwa kwa tija wanayoongeza.
Wewe ulifanya utafiti lini ukaona haziongezi tija?. Nenda kasome wewe kilaza acha wivu.
 
Ona ulivyo na akili ndogo, the way nilivyo comment means mio sio mwalimu.

Suala sio masters za ualimu zisiwe kwenye muundo suala ni hizo masters zinaongeza tija gani kwa kufundisha sekondari?

Watu hawalipwi kwa makaratasi wanalipwa kwa tija wanayoongeza.
Au naongea na mlipaji... umeambiwa utalipa wewe? Unaumia nini Sasa, kwani sahz hulipwi na makaratasi au unalipwa kwa kupeleka picha za wanafunzi 🤣
 
Back
Top Bottom