Hapana. Kazi ni ile unafuatwa nyumbani na gari asubuhi na kurudishwa.Sio kazi mana hakuna grand corruption na kuiba.Kazi ni zile kuna mwanya wa kua mwizi
Kwa mwezi unakaa ofisini wiki moja tu, nyingine zote uko kwenye semina, warsha ama makongamano.
Halafu mshahara ni mnono lkn wala huutumii kwasabb kuna allowance kibao