Hapana. Kazi ni ile unafuatwa nyumbani na gari asubuhi na kurudishwa.Sio kazi mana hakuna grand corruption na kuiba.Kazi ni zile kuna mwanya wa kua mwizi
Walimu wengi hawapo smart kutokana na stress za maisha na kutaka kufanya Mambo ambayo yapo juu ya uwezo wao..ndo maana nimeskia mpaka wanauana kwa kugombania cheo🤣 hata post tu hapa wakipost Walimu Ni shida shida mtu anauliza kwani PhD inamsaada gani kwenye kufundsha?😭 Kuna mwngne ana diploma anaenda kusoma ADEM Cirtificate 🤣 mwngne yy wanamwita wakilabuni muda wote pombe😭 mwngne salary ikitoka anapotea mpaka iishe🤣🤣Sio kazi mana hakuna grand corruption na kuiba.Kazi ni zile kuna mwanya wa kua mwizi
Kazi yyote Ile ni nidhamu na kuwa na mipango madhubuti bila kujali unafatwa na gari au unaenda kwa miguu, tatizo Walimu wengi utoto ni mwingi sana kila mtu anajifanya mjuaji na kuchomana kwa maboss🤣Hapana. Kazi ni ile unafuatwa nyumbani na gari asubuhi na kurudishwa.
Kwa mwezi unakaa ofisini wiki moja tu, nyingine zote uko kwenye semina, warsha ama makongamano.
Halafu mshahara ni mnono lkn wala huutumii kwasabb kuna allowance kibao
Ualimu siyo kazi tangu zamani mkuu. Ndiyo maana Nyerere, Mwinyi, Majaliwa, na Magufuli wote waliukimbia. Ualimu siyo kazi. Kazi lazima iwe na kipato.Siku hz wanasema ualimu syo kazi kutokana na kushuka kwa haiba ya mwalim unaenda shule unakuta ticha kavaa Kama anafyatua tofar🤣
🤣🤣🤣Sawa mkuu pamoja sanaUalimu siyo kazi tangu zamani mkuu. Ndiyo maana Nyerere, Mwinyi, Majaliwa, na Magufuli wote waliukimbia. Ualimu siyo kazi. Kazi lazima iwe na kipato.
Hao unaowaona wanavaa kama wnafyatua tofali hawafanyi hivyo kwa kupenda. Ni kwasabb mishahara yao haikutani.
Wote hatuwezi kupata kazi kubwa kubwa,hata huo ualimu mnaoudharau. Ajira zake ni za tabu.Sisi tunaotokea familia masikini tunaanzia huko kwanza.Nyie wazazi wenu wenye Connection aheri yenu.Tulitaka ajira za haraka tuoe mapema.Pia wanawake wengi wanapenda walimu na pia hata wewe unawapenda walimu mana wanamuelimisha mwanao.Kama unajua sana kaa na mwanao umfundishie kwakoHapana. Kazi ni ile unafuatwa nyumbani na gari asubuhi na kurudishwa.
Kwa mwezi unakaa ofisini wiki moja tu, nyingine zote uko kwenye semina, warsha ama makongamano.
Halafu mshahara ni mnono lkn wala huutumii kwasabb kuna allowance kibao
Kwa hiyo walimu ndio wanaokunywa pombe?Walimu wengi hawapo smart kutokana na stress za maisha na kutaka kufanya Mambo ambayo yapo juu ya uwezo wao..ndo maana nimeskia mpaka wanauana kwa kugombania cheo[emoji1787] hata post tu hapa wakipost Walimu Ni shida shida mtu anauliza kwani PhD inamsaada gani kwenye kufundsha?[emoji24] Kuna mwngne ana diploma anaenda kusoma ADEM Cirtificate [emoji1787] mwngne yy wanamwita wakilabuni muda wote pombe[emoji24] mwngne salary ikitoka anapotea mpaka iishe[emoji1787][emoji1787]
Walimu jiendelezeni kielimu mtachizika na hyo kazi
mbona unapaniki Sana Kwan wewe shida yako Ni nini? Hutaki Walimu wenye Masters wawekewe muundo wa kiutumishi kwani ww umekatazwa kwenda kusoma? ndo maana Walimu wanaonekanaga wanaakili za kitoto hzo hela umeambiwa itazitoa familia yako [emoji1].
Kweli you are too young na nilichokujibu ni felony.Nawewe ni tatizo aisee...unaandika unaruka ma space kwani umepaniki Nini? Kiazi we!
Ni hapa kwetu tu unakuta afsa elimu wilaya ana elimu ndogo kuliiko anaowaongoza. Halafu hawa viongozi wa elimu hakuna wanachokijua zaidi ya kufokea na kutisha walimu.Ni mambo muhimu ya kutazama katika taifa letu. Akina "unanijua mimi ni nani" hawatafurahi wakiona mtu mwenye elimu zaidi yao. Afisa elimu wa wilaya ana degree, hata penda kuona waalimu waliomzidi elimu wilayani kwake. Naona kielimi tuishi kijeshi, tumechoka sasa. Ni marufuku katika shule ya sekondari mkuu wa idara awe na elimu ndogo kuliko anaowaongoza.
Mawazo ya hovyo sana haya, mbona nchi zingine wanatambua kiwango hiki cha elimu?Kwa kuzingatia Aina ya Walengwa/Wateja/Wanafunzi, Ukubwa wa kazi yenyewe na Mazingira tuliyopo KAZI YA UALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI elimu ya DIGRII MOJA INATOSHA. zaidi zaidi hao walimu walipaswa kujikita kwenye kwenda kujipatia mafunzo mafupi ya Mbinu za ufundishaji. Elimu ya Masters nk nk hazina nafasi kwa Kiwango hicho cha kazi. Workload ya Ualimu haiiitaji hizo Masters zenu. Msilazimishe kuuua sisimizi kwa AK 47
Nenda kasome wewe acha ujinga.Maslai ya mwalimu yanatakiwa kupimwa kwa ufanisi wa kazi siyo karatasi za vyuoni ... kwa akili hizi wasomi wa tz ni wapumbavu sana.... yani wanawaza maslai kwa kutumia karatasi za darasani badala ya ufanisi kazini
Nenda kasome wewe acha wivu.Haya wewe mwenye Masters fanya MIUJIZA tuone ugwiji wa hiyo masters.
Kupitia hizo KPI tutaona Kama unastahili
Wewe lazima utakuwa na cheo halafu una degree moja . Nenda kasome wewe acha wivuNaona una ajenda ya kuwakimbiza walimu feki wanao leta nyuzi za mishahara kwa kutumia karatasi za vyuoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ulifanya utafiti lini ukaona haziongezi tija?. Nenda kasome wewe kilaza acha wivu.Ona ulivyo na akili ndogo, the way nilivyo comment means mio sio mwalimu.
Suala sio masters za ualimu zisiwe kwenye muundo suala ni hizo masters zinaongeza tija gani kwa kufundisha sekondari?
Watu hawalipwi kwa makaratasi wanalipwa kwa tija wanayoongeza.
Au naongea na mlipaji... umeambiwa utalipa wewe? Unaumia nini Sasa, kwani sahz hulipwi na makaratasi au unalipwa kwa kupeleka picha za wanafunzi 🤣Ona ulivyo na akili ndogo, the way nilivyo comment means mio sio mwalimu.
Suala sio masters za ualimu zisiwe kwenye muundo suala ni hizo masters zinaongeza tija gani kwa kufundisha sekondari?
Watu hawalipwi kwa makaratasi wanalipwa kwa tija wanayoongeza.