Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Hata ukiwa na PhD wataangalia GPA ya 3.8 undergraduate. Vyuoni wanaajiri kuanzia tutorial assistants (degree moja but uwe na 3.8 gpa), assistant lecturer ( masters but uwe na 3.8 undergrad na 4.0 masters), na PhDs (vigezo ni vile vile). Anyway nina walakini na vigezo hivyo lakini kwa sasa hali ndivyo ilivyo.

Hoja yako kuu na ambayo naiunga mkono ni kwamba hakuna sababu ya kutotambua walimu wa masters degree kimaslahi. Kuna viujinga vingi vinaendelea sekondarini kuanzia kiwango cha maarifa yanayotolewa na yanavyotolewa na mojawapo ya sababu za ujinga huo ni kulazimisha walimu kubaki na degree moja. Utadhani degree moja ya miaka ya 1960s ni sawa na degree moja ya 2020s.
Kweli kabisa degree moja ya 1960 syo sawa na degree ya Sasa
 
Maslai ya mwalimu yanatakiwa kupimwa kwa ufanisi wa kazi siyo karatasi za vyuoni ... kwa akili hizi wasomi wa tz ni wapumbavu sana.... yani wanawaza maslai kwa kutumia karatasi za darasani badala ya ufanisi kazini
Kwa muktadha wa hili linalozungumziwa sasa ufanisi upi unaouzungumza ndugu yangu? Kwamba mwalimu wa masters kwa wastani atakuwa na ufanisi sawa na mwalimu wa degree moja? Vyeti ni makaratasi lakini vina maana yake. Kama ambavyo daktari na daktari bingwa kwa haraka haraka wanatofautishwa na vyeti ndivyo ambavyo mwalimu wa degree and masters watakavyotofautishwa. Usipende kudharau sifa za watu.
 
Yeah upo sahihi. Sio wengi wana Masters level degree na kuwa na sifa za kiGPA. But dont think pia kama vyuoni kuna nafasi bwerere kwamba ukishakuwa na sifa za assitant lecturer basi utapata nafasi automatically.
Nani kasema automatically? Jitahidi kuelewa dhana... kuomba nafasi ndio automatically?
 
Habari;
Kwasasa Dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la Elimu za Walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani, kwamfano, kwa Tz muundo wa kiutumishi wa Walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia Elimu ya cheti mwisho shahada ya kwanza tu, ambapo mwl akiwa na shahada ya Pili (masters/PhD) mfumo haumtambui kimasilahi (salary) na kimuundo, tofauti na nchi zingine Kama Kenya, south Africa, Nigeria, Zimbabwe na kwingineko,
Serikali ingelitazama hili swala kwa jicho la utatu kwa kuwaandalia muundo wa kiutumishi na kimasilahi Walimu wenye shahada ya Pili (Masters/PhD) waliopo huko mashuleni, ifikie kipindi Sasa iwe ni kawaida kumwona mwl mwenye PhD anafundsha shule za msingi huko, hii ishu italeta Mapinduzi makubwa sana kwenye idara ya Elimu na ualimu hasa huko mashuleni, tofauti na Sasa ambapo mwl akishapata shahada ya Pili tu huanza kuomba kuhamia idara zingine ambapo anaona atapata maslahi kulingana na Elimu aliyonayo wakati hyo elimu yake (masters/PhD) ingetambulika kimuundo na kimasilahi angetulia kituoni pake alipokuwa anafundsha bila kutafuta fursa mahala pengine.
NAOMBA KUWASILISHA
Hili swali Chama cha walimu wakikujibu nitag
 
Haya wewe mwenye Masters fanya MIUJIZA tuone ugwiji wa hiyo masters.

Kupitia hizo KPI tutaona Kama unastahili
 
Attachments

  • IMG_20230206_165232.jpg
    IMG_20230206_165232.jpg
    319.2 KB · Views: 5
Kwa muktadha wa hili linalozungumziwa sasa ufanisi upi unaouzungumza ndugu yangu? Kwamba mwalimu wa masters kwa wastani atakuwa na ufanisi sawa na mwalimu wa degree moja? Vyeti ni makaratasi lakini vina maana yake. Kama ambavyo daktari na daktari bingwa kwa haraka haraka wanatofautishwa na vyeti ndivyo ambavyo mwalimu wa degree and masters watakavyotofautishwa. Usipende kudharau sifa za watu.
Walimu wasomi sana ndiyo wabovu sana awajali kazi tazama vyuo vikuu vyetu ni kichekesho tupu ....tz kumejaa ma IT ambao hata hesabu za darasa la 5 awaziwezi ushahidi ninao wa kutosha ....kwa tz ni rahisi ku pass mitihani ya vyuo vikuu kuliko form 4
 
Haya wewe mwenye Masters fanya MIUJIZA tuone ugwiji wa hiyo masters.

Kupitia hizo KPI tutaona Kama unastahili
Naona una ajenda ya kuwakimbiza walimu feki wanao leta nyuzi za mishahara kwa kutumia karatasi za vyuoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walimu wasomi sana ndiyo wabovu sana awajali kazi tazama vyuo vikuu vyetu ni kichekesho tupu ....tz kumejaa ma IT ambao hata hesabu za darasa la 5 awaziwezi ushahidi ninao wa kutosha ....kwa tz ni rahisi ku pass mitihani ya vyuo vikuu kuliko form 4
Sasa hesabu za darasa la 5 zinasaidia nn mkuu
 
Nani kasema automatically? Jitahidi kuelewa dhana... kuomba nafasi ndio automatically?
Nimeelewa sana. Embu chukulia mtu ana masters gpa 3.8 biochemistry. Anatafuta uassistant lecturer now. Unafikiri itakuwa rahisi kwake unavyofikiria. Labda anaweza kupata baadae sana fursa itakapotangazwa kwenye vyuo flani flani vichache sana vinavyohesabika. Nafasi hiyo ikitangazwa anaweza kujikuta yupo peke yake kwenye hiyo nafasi lakini unadra wa nafasi hizo unafanya mtu asifikirie kwamba basi ukishakuwa na sifa ya kufundisha chuo kikuu basi utafundisha chuo kikuu.

Hivyo umuhimu wa kuincentivize walimu kujiendeleza huko waliko mashuleni iwapo tu kujiendeleza huko kutatambulika kimaslahi.
 
Sasa hesabu za darasa la 5 zinasaidia nn mkuu
Haya sasa kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wasomi wenye PHD njooni mchukue mtu wenu msomi mwenzenu huku .....tukisema wasomi wapumbavu watu wana sema tunaona wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasomi wa bongo ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji11]tu
 
bila ya mwalimu wewe ungeweza kuja kuandika hivyo leo? Mwalimu alikushikisha kalamu mpaka ukaweza kuchora mstari na kuandika a e i o u.

Usijione umekuwa ukasahau ulikotoka. Tafadhali heshimu kazi ya ualimu.
Mbona povu? Mm nimeuliza: ualimu ni kazi?? (Naomba jibu)
 
Back
Top Bottom