Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Haya sasa kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wasomi wenye PHD njooni mchukue mtu wenu msomi mwenzenu huku .....tukisema wasomi wapumbavu watu wana sema tunaona wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasomi wa bongo ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji11]tu
Unatatizo Sana kwenye ubongo...Nani amekwambia Mimi nina PhD kilaza mkubwa we!
 
Habari;
Kwasasa Dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la Elimu za Walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani, kwamfano, kwa Tz muundo wa kiutumishi wa Walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia Elimu ya cheti mwisho shahada ya kwanza tu, ambapo mwl akiwa na shahada ya Pili (masters/PhD) mfumo haumtambui kimasilahi (salary) na kimuundo, tofauti na nchi zingine Kama Kenya, south Africa, Nigeria, Zimbabwe na kwingineko,
Serikali ingelitazama hili swala kwa jicho la utatu kwa kuwaandalia muundo wa kiutumishi na kimasilahi Walimu wenye shahada ya Pili (Masters/PhD) waliopo huko mashuleni, ifikie kipindi Sasa iwe ni kawaida kumwona mwl mwenye PhD anafundsha shule za msingi huko, hii ishu italeta Mapinduzi makubwa sana kwenye idara ya Elimu na ualimu hasa huko mashuleni, tofauti na Sasa ambapo mwl akishapata shahada ya Pili tu huanza kuomba kuhamia idara zingine ambapo anaona atapata maslahi kulingana na Elimu aliyonayo wakati hyo elimu yake (masters/PhD) ingetambulika kimuundo na kimasilahi angetulia kituoni pake alipokuwa anafundsha bila kutafuta fursa mahala pengine.
NAOMBA KUWASILISHA
Why do you want to kill the whole pig for a tail.
 
Ualimu na u-house girl sioni tofauti. Wote ni walezi wa watoto
Kwahiyo mwalimu wako aliekufundisha pale chekechea unamfananisha na yule yaya alikuwa anakunyoosha uji pale makanyagio ya mbwa!!?
Acha dharau wewe
 
Walimu wasomi sana ndiyo wabovu sana awajali kazi tazama vyuo vikuu vyetu ni kichekesho tupu ....tz kumejaa ma IT ambao hata hesabu za darasa la 5 awaziwezi ushahidi ninao wa kutosha ....kwa tz ni rahisi ku pass mitihani ya vyuo vikuu kuliko form 4
Una hoja lakini hujaiweka sawa. Huwezi kusema kwamba ni rahisi kufaulu mtihani wa chuo kuliko wa form four hivyo basi wasomi wetu vyuo vikuu hawafai au elimu ya chuo kikuu ni mbovu. Nakubaliana na wewe kwamba kuna vyuo vikuu hapa Tanzania wana system mbovu ya elimu. Wakati huo huo kuna vyuo vikuu vinatoa elimu bora kabisa. Lakini katika soko la ajira hawatofautishi kati ya graduate kutoka chuo flani mwenye sifa za ubora wq gpa. Embu cheki jinsi walimu wanavyoajiriwa: serikali inaajiri mwalimu yeyote yule aliyegraduate chuo chochote kile kilichosajiliwa na TCU mradi ana cheti cha degree.

Kwa nini wasiweke inteview?
 
Haya sasa kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wasomi wenye PHD njooni mchukue mtu wenu msomi mwenzenu huku .....tukisema wasomi wapumbavu watu wana sema tunaona wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wasomi wa bongo ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji11]tu
Mwl unahemea juu juu sana, ndo manini hayo umepost.
 
Una hoja lakini hujaiweka sawa. Huwezi kusema kwamba ni rahisi kufaulu mtihani wa chuo kuliko wa form four hivyo basi wasomi wetu vyuo vikuu hawafai au elimu ya chuo kikuu ni mbovu. Nakubaliana na wewe kwamba kuna vyuo vikuu hapa Tanzania wana system mbovu ya elimu. Wakati huo huo kuna vyuo vikuu vinatoa elimu bora kabisa. Lakini katika soko la ajira hawatofautishi kati ya graduate kutoka chuo flani mwenye sifa za ubora wq gpa. Embu cheki jinsi walimu wanavyoajiriwa: serikali inaajiri mwalimu yeyote yule aliyegraduate chuo chochote kile kilichosajiliwa na TCU mradi ana cheti cha degree.

Kwa nini wasiweke inteview?
Ndiyo maana yake kwani ukuwai kusikia phd za vichupi . Sasa kama vichupi vinaleta phd je unadhani nini kinazuia kuwa na phd za mafisadi na rushwa. Chuo kikuu ni pesa yako tu na uchi wako tu ....huo ndiyo ukweli
 
Mwl unahemea juu juu sana, ndo manini hayo umepost.
Naona umeanza kujikataa [emoji1787][emoji1787] hayo niliyo post ndiyo ubongo wa walimu wa tz [emoji1787][emoji1787] huu hapa ubongo wenu [emoji117][emoji90] na toilet paper yenu ni buku 7 ya ccm mnayo pewa kujipangusia
 
Ndiyo maana yake kwani ukuwai kusikia phd za vichupi . Sasa kama vichupi vinaleta phd je unadhani nini kinazuia kuwa na phd za mafisadi na rushwa. Chuo kikuu ni pesa yako tu na uchi wako tu ....huo ndiyo ukweli
Sijajua elimu yako lakini inaonekana hauna hoja za msingi.
 
Sijajua elimu yako lakini inaonekana hauna hoja za msingi.
Utatowaje hoja za msingi kwa watu wasio na akili au wapumbafuuu [emoji849] mimi niko vizuri sana ila uwezi kunijua mpaka uwe jiniasi wa daraja ya juu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom