Ndo hapo SasaNadhani hapa ndio palikuwa pa kuanzia
Mkaguzi hana shahada ya umahiri katika elimu huwa anaenda kukagua nini sasa?
Maana ni bora wangekuwa hired kwenda ukaguzi walau wawekewe na muundo wao wa utumishi ingeleta maana
Sasa diploma anafanya nini au ana uzoefu wa kukagua?? yaan astashahada anamkagua shahada au uzamiri au umahiri???
Mfumo ni dude la hovyo fulani
Kwa vyuo vikuu kiwango cha GPA huzingatiwa pia, siyo idadi ya shahada pekeeHao wanapaswa kua asstant lecturer vyuo vikuu sio sekondari tena, hiyo ndio misallocation of human resource
Jamani, yaani uko na PhD halafu unafundisha primary?!!Ifikie kipindi sasa iwe ni kawaida kumwona mwalimu mwenye PhD anafundsha shule za msingi huko.
πNdo maana tunapendekeza Kama serikali itaona inafaa Basi wawekewe muundo wa kiutumishiJamani, yaani uko na PhD halafu unafundisha primary?!!
Hapo ni kama kutumia bomu kuua sisimizi. Yaani ule utaalamu wa mwenye PhD utakuwa hautumiki, mwishowe atasahau mambo
Bachelor na CPA na advocatesTanzania kada almost zote wanawatambua mwisho bachelor tu. Sio walimu pekee
Na wakipandisha kwa walimu basi na kada nyingine wapandishe kama manesi etc
Yani mlm hawezi kumaliza hayo madaraja kwa kuanza ajira na TGTS D, haiwezekani ukizingatia mtu anaajiliwa na u.mri wa 25+ huwezi maliza madaja.Hata hii first degree inayotambulika miaka hii ujue juz tu hapa miaka ya 90 ilikuwa haitambuliki Ila watu walitoa mapendekezo ikaanza kutambulika, wale wenye kusoma waache wasome hayo malalamiko hawakulalamikii wew na familia yako wanawalalamikia wenye mamlaka ya hayo Mambo ya mishahara.
Hapana hujaudhi mtu.Yani mlm hawezi kumaliza hayo madaraja kwa kuanza ajira na TGTS D, haiwezekani ukizingatia mtu anaajiliwa na u.mri wa 25+ huwezi maliza madaja.
Watanzania tunatakiwa tuanze kufikiria nje ya TGTS.
Why are you so closed mind with TGTS class?
You are just thinking within the loop of TGTS!
Motivatiobal speakers wa USA na Ulaya hushauri watu wasio na elimu ya biashara wasome master au post graduate diploma ya BBA.
Toa ilo ombwe la kukosa confidrnce, try new way.
Wasomi lini watakuwa create na kujitegemea wenyewe.
Hio mifumo ya madaraja ilibuniwa ba watu.
Are we dumb enough and lazy such that we can't start the new bright future.
Nimekaa sana na walimu they are very dumb! Ni watu wasio weza kubadili hali na kubaki ktk mazoea. Most of them they are complainer.
Samahani sana kama ntakuwa nimekuudhi ila sio nia yangu.
Hapa ni mapendekezo tu Kama serikali itaona inafaa kuwawekea muundo wa kiutumishi Walimu wenye Masters Kwan hao wenye degree/diploma utendaji wao upoje? Ila tu Ni kufanya kipaumbele Cha Elimu iwe ni Elimu ya mwalimu pia, hivi siku hz bado Kuna certificate ya ualimu?Masters zenyewe siku hizi zimeshuka thamani sababu ya mwendokasi!
Wengi wanazo lakini kiutendaji haiakisiwi hata kidogo!
Unakuta mtu hana Anya value addition sasa mwajiri akiangalia ongezeko la tija halioni!
Tufikirie kwa pamoja kizalendo zaidi!
Mtu ana master au PhD badala afanye tafiti auze machapisho, auze vitabu aongeze kipato anawa scale. Tutachelewa sana.Hata ukiwekwa mshahara wa Master ya education na PhD ya education kwenye scheme of service bado itakuwa ni meagre salary tu, utaambiwa mwenye Masters ya education 980,000/-, Mwenye PhD ya education 1,300,000/- Sasa si upuuzi tu bado
Kwani una uhakika hayo yote hawafanyi mkuuMtu ana master au PhD badala afanye tafiti auze machapisho, auze vitabu aongeze kipato anawa scale. Tutachelewa sana.
Maktaba zimejaa vitabu vya wakenya na wanaija. Sisi wanawaza scale.
Mitandaoni kuna watu wanalipwa pesa ndefu kutoka na lecture zao(wapo competent)
Competence na cong
fidence ndio changamoto kubwa ya wasomi wa TZ.
πππHata ukiwekwa mshahara wa Master ya education na PhD ya education kwenye scheme of service bado itakuwa ni meagre salary tu, utaambiwa mwenye Masters ya education 980,000/-, Mwenye PhD ya education 1,300,000/- Sasa si upuuzi tu bado
Unaweza kuwa na ushahidi wanaofanya?Kwani una uhakika hayo yote hawafanyi mkuu
Wangapi labda?Si kweli msiongee msivyovijua... masters elf 3 kwa mwaka? Serious?
Hivi kukagua shule ina vyoo vingapi,madarasa mangapi, mwalimu kafundisha vipindi vingapi diploma haitoshi?Nadhani hapa ndio palikuwa pa kuanzia
Mkaguzi hana shahada ya umahiri katika elimu huwa anaenda kukagua nini sasa?
Maana ni bora wangekuwa hired kwenda ukaguzi walau wawekewe na muundo wao wa utumishi ingeleta maana
Sasa diploma anafanya nini au ana uzoefu wa kukagua?? yaan astashahada anamkagua shahada au uzamiri au umahiri???
Mfumo ni dude la hovyo fulani