Kwanini Tanzania ya sasa Watu wa hovyo kijamii na matukio ya hovyo ndiyo yanashabkiwa na 'Kutrendi' sana?

Kwanini Tanzania ya sasa Watu wa hovyo kijamii na matukio ya hovyo ndiyo yanashabkiwa na 'Kutrendi' sana?

Kinachowatesa watu kama nyie ni kutaka kuwaendesha Watanzania. Hakuna taifa linaishi kijeshi jeshi kama liko kifungoni... Kwa taarifa yako Watanzania wanafanya wanachokijua. Mengine wameshaona ni janjajanja tu kwa hiyo HERI WAJIFURAHISHE
 
Hii yote ya taifa kujaa wajinga linatokana na RUSHWA!! rushwa inaposhamiri kila mahali hadi kwenye ajira na kuacha watu werevu na kuajiri kwa kujuana ndio madhara yake haya. Na bado!!!
 
Naona unataka kuchokolewa
Na Choko?😳😳😳😳😳 Najua hiyo mitego yenu. Unataka tubishane halafu nikwambie haya tuonane...nikifika huko utake nikutumie choko. Mi na machoko mbalimbali. Mbinu yako ya kizamani sana....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tumegundua kwamba kama huna hela hauthaminiwi
Maisha ya siku hizi, hakuna upande wastani
Ni aidha ni mtaalamu au mkali hasa kwenye fani au shughuli zako ujue kuzitumia kukuletea hela, kama Mondi, sio kusifiwa maneno
Au ni uwe mbovu wa kutupwa na kuwa kituko nchi nzima kama Mandonga ili uutumie huo umaarufu kuingiza hela....

Tafuteni hela,
end off.....
 
Na Choko?😳😳😳😳😳 Najua hiyo mitego yenu. Unataka tubishane halafu nikwambie haya tuonane...nikifika huko utake nikutumie choko. Mi na machoko mbalimbali. Mbinu yako ya kizamani sana....🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀 Haya bwana umeshinda
 
Hili nalo ni swali la kizuzu, wenzetu wamemudu kuigonganisha spacecraft na astronoid, jaribio la kwanza kabisa kufanywa in a modern science, wewe endelea kuuliza viswali vya kizuzu na kugombonia vijiajira ushwara

No fact no right to speak, kama huwezi kumtaja huyo aliyetufanya mazuzu basi wewe si muongo na zuzu tu bali ni zwazwa pia.
 
Back
Top Bottom