DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mkuu acha Kudanganya Watu..Christmas naye tunasheherekea tukio la kuzaliwa kwa Yesu na hatusheherekei siku gani au muda gani kazaliwa. Msingi wa Christmas ni sherehe ya "PURIMU" wanayosheherekea wayahudi kila tarehe 14 na 15 mwezi wa "ADARI" ambapo katika tarehe 14 na 15 wayahudi hufanya karamu na kupelekeana zawadi(Boxing day)
Msimu wa Sherehe ya Purimu unatoka katika kipindi cha Mordekai kipindi cha Esta... na ukombozi wa Taifa la Israel..na sio Siku christmass..
UTetezi wowote wa Tarehe au sikukuu Usilenge kupotosha..
Esta 9:26
"Hivyo wakaziita siku hizo Purimu, kwa jina la Puri. Basi, kwa ajili ya maneno yote ya barua hiyo, na kwa yale waliyoyaona wenyewe juu ya jambo hilo, na mambo yenyewe yaliyowajia,"