Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Christmas naye tunasheherekea tukio la kuzaliwa kwa Yesu na hatusheherekei siku gani au muda gani kazaliwa. Msingi wa Christmas ni sherehe ya "PURIMU" wanayosheherekea wayahudi kila tarehe 14 na 15 mwezi wa "ADARI" ambapo katika tarehe 14 na 15 wayahudi hufanya karamu na kupelekeana zawadi(Boxing day)
Mkuu acha Kudanganya Watu..
Msimu wa Sherehe ya Purimu unatoka katika kipindi cha Mordekai kipindi cha Esta... na ukombozi wa Taifa la Israel..na sio Siku christmass..

UTetezi wowote wa Tarehe au sikukuu Usilenge kupotosha..

Esta 9:26

"Hivyo wakaziita siku hizo Purimu, kwa jina la Puri. Basi, kwa ajili ya maneno yote ya barua hiyo, na kwa yale waliyoyaona wenyewe juu ya jambo hilo, na mambo yenyewe yaliyowajia,"
 
Ninachokiona Wakistro wanataka wawe sawa na wayahudi wakati wayahudi wanabaki kuwa wayahudi.
 
Hii Ndo ukweli I was Judaism, Na Wana theology yenye 90% Iko tofauti na Wakristo..
Wakristo na Waislam wana Lingana Theology kwa 70%

Ila Wanatofautina na wayahudi zaido ya 90%
 
Tarehe 14/01 kila mwaka..

Mambo ya Walawi 23:5

"Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA."

Hesabu 9:5

"Nao wakaishika Pasaka katika mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, katika bara ya Sinai vile vile kama hayo yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli."

Hesabu 28:16

"Tena,
mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, ni pasaka ya BWANA."

au unaitwa Mwezi wa Abibu...

Kumbukumbu la Torati 16:1

"Utunze mwezi wa Abibu, ukamfanyie pasaka BWANA, Mungu wako, kwa kuwa ilikuwa ni mwezi wa Abibu alipokutoa Misri usiku BWANA; Mungu wako."
Kuna pasaka 2 mkuu, kuna pasaka kwa ajili ya Waisrael kukumbuka kutoka Misri kwenda Kanani (Israel nchi ya ahadi). Hii ndio sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, na inatakiwa kuliwa kwa siku 7 na kuadhimishwa kila mwaka.

Kwa kiingereza inaitwa PASSOVER. Sasa inayoadhimishwa siku kama ya jana ni kufufuka kwa Yesu ambaye aliuawa wakati akisherehekea pasaka (passover). Yaani aliuawa kipindi cha wayahudi kusherehekea Pasaka. Haya maadhimisho kwa kiingereza wanayaita EASTER

Ikafika siku ya mikate isiyotiwa chachu, ambayo ilipasa kuchinja pasaka. Akawatuma Petro na Yohana, akisema, Nendeni, mkatuandalie pasaka tupate kuila.
Lk 22:7‭-‬8 SUV
 
Ok Then leo ni Tarehe 22 mwezi wa Adar II mwaka 5784

In which pasaka pado Siku kadhaa kama Wiki Tatu ndp wayahudi Washerekee..
Pasaka itakuwa Itakuwa 14 mwezi Nissan 5784..

Umenielewa Mkuu?

Bado mwezi mzima Paska ndio ifanyike Ile original
Kama unaswali uliza
Hii ya sasa ina utofauti na ya zamani, hii Ina fixed date kama sikosei ??
 
Kuna pasaka 2 mkuu, kuna pasaka kwa ajili ya Waisrael kukumbuka kutoka Misri kwenda Kanani (Israel nchi ya ahadi). Hii ndio sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, na inatakiwa kuliwa kwa siku 7 na kuadhimishwa kila mwaka.

Kwa kiingereza inaitwa PASSOVER. Sasa inayoadhimishwa siku kama ya jana ni kufufuka kwa Yesu ambaye aliuawa wakati akisherehekea pasaka (passover). Yaani aliuawa kipindi cha wayahudi kusherehekea Pasaka. Haya maadhimisho kwa kiingereza wanayaita EASTER

Ikafika siku ya mikate isiyotiwa chachu, ambayo ilipasa kuchinja pasaka. Akawatuma Petro na Yohana, akisema, Nendeni, mkatuandalie pasaka tupate kuila.
Lk 22:7‭-‬8 SUV
HIyo Pasaka ya kwanza Iliwekwa na Mungu mwenyewe Na kutangaza Tarehe, hiyo paskaa ya Pili aliiweka Nani?
Na unajia Chimbuko Lake??
 
Sasa kama walikuwa wakitazamia mwezi na Sasa hawatazami unafikiri ziko sawa ?
Wayahudi Bado wanatazama mwezi na nimekupa Tarehe yao Ya leo ni Tarehe 22 Mwezi wa Adar II ambao huu ni mwezi wa Hukumu Na mwezi wa Kwanza Utafika baada ya wiki Moja so Tunategemea Pasaka Baada ya wiki Tatu kutoka sasa kwenye mwezi wa Nissani..
 
Mkuu acha Kudanganya Watu..
Msimu wa Sherehe ya Purimu unatoka katika kipindi cha Mordekai kipindi cha Esta... na ukombozi wa Taifa la Israel..na sio Siku christmass..

UTetezi wowote wa Tarehe au sikukuu Usilenge kupotosha..

Esta 9:26

"Hivyo wakaziita siku hizo Purimu, kwa jina la Puri. Basi, kwa ajili ya maneno yote ya barua hiyo, na kwa yale waliyoyaona wenyewe juu ya jambo hilo, na mambo yenyewe yaliyowajia,"
Wacha ujuaji dogo. Sijadanganya na sintadanganya? Sasa nimedanganya nini? Sijasema Christmas ndio PURIM ila nimesema "Msingi wa kuanzishwa kwa Christmas ni sawa na kusheherea PURIMU" ikimaanisha kukumbuka ushindi wetu juu ya Adui pitia kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Malaika katika Luka 2:10 anaelezea kuhusu "furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote" kutokana na kuzaliwa kwa Mkombozi wao.

Sherehe za PURIM huazimishwa tarehe 14 na 15 ya mwezi Adari ambao ni mwezi wa 12. Sherehe hizi huambatana na karamu pamoja na utoaji wa zawadi( kama fufanyavyo kwenye Christmas ambapo huwa ni karamu na kutoa zawadi (Boxing day). Msingi wa kuanzishwa kwa sherehe kwa wayahudi "kukumbuka namna Mungu alivyowashindia na kuwaondolea huzuni zao na kuwapa furaha" ndio msingi wa sisi kusheherekea tukio la kuzaliwa kwa Kristo "kwani katika Yeye ndio tunashinda".

Nimesema na ninarudia, wakristo hatusheherekei Siku ila tunasherekea tukio. Kama ambavyo tunasheherekea "Passover" ndivyo tunavyosheherekea kuzaliwa kwa Kristo regardless na tarehe ambayo tukio linafanyika. Sasa hapo nimedanganya nini? Pasaka iwe hata mwezi Juni tusheherekea na Christmas iwe hata mwezi August tutasherekea kwani hatusheherekei siku bro.
 
Hiyo anzisha uzi mwingine mkuu
NImemwambia aliyeleta Concern kuwa Pasaka ziko mbili..

Ndo ntaka nizisikie na nani mwanzilishi wake?
Mada juu inazungumzia Utata wa Tarehe za pasaka..
So Bila kujua Pasaka zote mbili huwezi kujua Mada inazungumzia Pasaka ipi..

Kufungua Uzi wakati kuna uzi mwingine ni Utoto
Thanks but no Thanks
 
Nimevuka Stage ya Kuitwa Dogo maybe unaweza hata kuwa Mjukuu wangu..

Ila swala La kuwa Mjuaji..
Hapana sio mjuaji ila sipendi watu wapotoshe!
Nimekuwa Myahudi kwa Muda kabla sijaacha so You can never Tell A lie nikuangalie..

Hata watu wanaotoa Lies kuhusu Ukristo au Uislam huwa ninawacorrect..

So kusema Purim ni sawa na Xmass ndo kulinifanya nishangae..

Lakini kama ulizungumzia kama parable ni sawa..
 
Mbona ipo wazi mkuu. Pasaka zikiwa hata 10 sioni kama ni shida kwani hatusheherekei siku, tunasheherekea tukio mkuu. Hapo usichoelewa ni nini?
 
Mkuu hebu weka mistari iliyonyooka acha kukwepa hoja
Unataka kuwekewa hoja kutoka kwenye Biblia iliyojaa logical fallacies na Contradictions..!!

Unataka hoja kwenye Biblia ambayo ni man-made inayokupa ugumu wa kujua siku ya pasaka ni ipi?

Kama Biblia imeshindwa kukupa majibu ya pasaka ni siku ipi exactly, unataka majibu kutoka reference ipi?
 
Nimevuka Stage ya Kuitwa Dogo maybe unaweza hata kuwa Mjukuu wangu..

Ila swala La kuwa Mjuaji..
Hapana sio mjuaji ila sipendi watu wapotoshe!
Nimekuwa Myahudi kwa Muda kabla sijaacha so You can never Tell A lie nikuangalie..

Hata watu wanaotoa Lies kuhusu Ukristo au Uislam huwa ninawacorrect..

So kusema Purim ni sawa na Xmass ndo kulinifanya nishangae..

Lakini kama ulizungumzia kama parable ni sawa..
Ulikurupuka na kimsingi ndio changamoto yenu vijana wa sasa. Umenilidha maneno. Sijasema na sintasema kuwa PURIM ndio Christmas ila nimesema Msingi wa kuanzishwa kwa sherehe ya Christmas ni sawa na sherehe ya PURIMU. Kuwa mtulivu na mwenye hekima pia jitahidi kusoma between lines na sio kukurupula dogo.
 
Mbona ipo wazi mkuu. Pasaka zikiwa hata 10 sioni kama ni shida kwani hatusheherekei siku, tunasheherekea tukio mkuu. Hapo usichoelewa ni nini?
UKo sawa kabisa Na hilo sipingi..
Lakini nichosema kulikuwa na haja gani ya Kubadili jina Kutoka Paska kuwa Easter?

Kama Mungu aliamuru Ifanyike Tarehe anayotaka Yeye Then kwanini Walibadilisha??
 
Back
Top Bottom