Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

Mbona wazanzibar hawajawahi kuleta michezo Yao BARA?
Huu MUUNGANO unachachafya Sana. Uvunjike kabisa.
Vitu vyetu hatuinjoy.....
Wanatutawala Kwa kila kitu.
Tanganyika is a sleeping giant.
 
Kuboresha Muungano na kudhibitisha kuwa hakuna m'Tanzania bara atakayedaiwa PASSPORT.
Sio sahihi. Nchi hii ina pande mbili za muungano. Sijasikia mechi za England kupelekwa Scotland au Ireland au Wales ilhali zote ni United Kingdom. Huko pana mashirikisho ya soka kila nchi yakiendesha ligi kama kwetu tu.
 
Sio sahihi. Nchi hii ina pande mbili za muungano. Sijasikia mechi za England kupelekwa Scotland au Ireland au Wales ilhali zote ni United Kingdom. Huko pana mashirikisho ya soka kila nchi yakiendesha ligi kama kwetu tu.
Naunga mkono hoja
 
Mchezo wa fainali ya FA utazikutanisha Yanga na Azam FC June 2, 2024 saa 2:15 usiku.
Kuna Don yupo Zanzibar kaweka Kitita TFF wakahamisha Magoli wakayapeleka Zanzibar, usiniulize huyo Don ni nani jiulize Yanga wanacheza na nani?
 
Zanzibar so himaya ya fa ya Tanzania bars hilo lieleweke ila walichokifanya tff pengine wapo sahii ila wamekosea !!!!! Wapo sahii kwa kufanya maamuzi ya kuhamisha mchezo kuwa usifanyike manyara hii no kutokana na sababu mbalimbali kama vile kiusalama watu wengi watakuwa na uhitaji wa kuingia uwanjani lakini kiwanja in kidogo hivyo kuleta vurugu pia sababu nyingine in kimapato mashabiki wengi hawataingia kutokana na ufinyu wa kiwanja huvyo fa kukosa mapato,maamuzi ya kuhsmisha yapo sahii lakin he unahamishia wapo ndipo tatzo!!!!!!! Najua Kyle zenji usalama in uhakika na mapato ni uhakika lakini wamekiuka kanuni za shirikisho
 
Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika?

Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland?

Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao Uturuki?

TFF MJITATHMINI.

---

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza mabadiliko ya mchezo uwanja wa mchezo wa Fainali ya Kombe la FA kuwa kwa sasa utachezwa Amaan Zanzibar na sio Babati Manyara kama ilivyotangazwa awali.

Maamuzi hayo yamekuja baada ya uwanja wa Babati kutokuwa sawa kwa baadhi ya miundombinu na usalama hivyo kupelekea mchezo huo kuhamishiwa Zanzibar.

Mchezo wa fainali ya FA utazikutanisha Yanga na Azam FC June 2, 2024 saa 2:15 usiku.
Wanajipendekeza kwa bi kidude, uchawa kila sehemu awamu hii
 
Back
Top Bottom