The atlantic
JF-Expert Member
- Aug 1, 2023
- 390
- 670
Sio sahihi. Nchi hii ina pande mbili za muungano. Sijasikia mechi za England kupelekwa Scotland au Ireland au Wales ilhali zote ni United Kingdom. Huko pana mashirikisho ya soka kila nchi yakiendesha ligi kama kwetu tu.Kuboresha Muungano na kudhibitisha kuwa hakuna m'Tanzania bara atakayedaiwa PASSPORT.
Za FA Yao embu nitajie Moja iliyowahi chezwa uarabuniVipi kuhusu Spain hakuna mechi zao wanazopeleka uarabuni?
Naunga mkono hojaSio sahihi. Nchi hii ina pande mbili za muungano. Sijasikia mechi za England kupelekwa Scotland au Ireland au Wales ilhali zote ni United Kingdom. Huko pana mashirikisho ya soka kila nchi yakiendesha ligi kama kwetu tu.
Kuna Don yupo Zanzibar kaweka Kitita TFF wakahamisha Magoli wakayapeleka Zanzibar, usiniulize huyo Don ni nani jiulize Yanga wanacheza na nani?Mchezo wa fainali ya FA utazikutanisha Yanga na Azam FC June 2, 2024 saa 2:15 usiku.
Duh kumbeKuna Don yupo Zanzibar kaweka Kitita TFF wakahamisha Magoli wakayapeleka Zanzibar, usiniulize huyo Don ni nani jiulize Yanga wanacheza na nani?
Pigia Mstari hapo hapo Pesa tamu, wewe ungekua wewe ungeweza?Duh kumbe
Wale wameingia mkataba na Serikali ya Saudi Arabia, yaani wao ndio wanalipwa pesa ndefu tu, sasa hao TFF watalipwa na Zanzibar?Vipi kuhusu Spain hakuna mechi zao wanazopeleka uarabuni?
Jibu la swali hili wanalo wao TFF. Wameona pengine uwanja waTaifa wa Tanganyika hapatoshi na hivyo kuuhamishia mchezo huo huko Taifa la Zanzibari.Kwanini zanzibar na si taifa?
Wanajipendekeza kwa bi kidude, uchawa kila sehemu awamu hiiAcheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika?
Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland?
Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao Uturuki?
TFF MJITATHMINI.
---
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza mabadiliko ya mchezo uwanja wa mchezo wa Fainali ya Kombe la FA kuwa kwa sasa utachezwa Amaan Zanzibar na sio Babati Manyara kama ilivyotangazwa awali.
Maamuzi hayo yamekuja baada ya uwanja wa Babati kutokuwa sawa kwa baadhi ya miundombinu na usalama hivyo kupelekea mchezo huo kuhamishiwa Zanzibar.
Mchezo wa fainali ya FA utazikutanisha Yanga na Azam FC June 2, 2024 saa 2:15 usiku.
Inasikitisha sanaWanajipendekeza kwa bi kidude, uchawa kila sehemu awamu hii