Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

Rubbish
 
Namsikitikia Sana Bashungwa, jamaa anafikiri mfumo utamlinda, he is next, anytime anakuwa terminated....Badala ya KUKOMBOA nchi aende US huko COLUMBIA yeye bado tu yupo kama ZEZETA.
Atapitia wapi kwa sasa?too late
Ajiulize where is mwalimu...
Wapite nae tu si aliona sifa sn huo uwaziri na kuhost butcher men....
 

Tatizo hamtoi sababu ambazo ndizo zingeweza kujadiliwa.
 
Kuzuia autopsy ni kwa manufaa ya nani? Ibilisi anapenda sana giza!
 
Kamuuwa mshirika wake?
 
Vita vya timu Abdul(chawa wa Abdul ndani ya TISS akiwemo DG wao) na TISS wanaopambana isidhibitiwe na Wazanzibari. Fractions ndani ya kambi ya majasusi.
Hivi kumbe kuna hii vita enhee??

Hapo mtu mzima Mafwele sijui hatakuwa upande gani, sijui TISS ya upande wa bara au ni timu Abdul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…