Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

Basi hapa eti unajiona umewaza nje ya Box.

Unajiona una akili kubwa ya kuona kule ambako wengine hawapaoni.

Unajiona mzalendo.

Unajiona umeandika madini, na wakati umeandika upuuzi mtupu ambao ni mixture ya ujinga na uchawa.

Hata hivyo huko UVCCM mmejaa ma pseudo-intellectuals ambao ni weupe sana kichwani na ndio mnaotegemewa na TISS inasikitisha.
 
Hii counter argument ni heavy zaidi ya ICBM ya mkorea, mwambie huyo mvaa kobazi na kujikuta kwake mzalendo wakati ni mpuuzi tu na mfinyu wa maarifa ambaye kichwa chake kimetafunwa na udini mpaka basi.
 
Eti kipepeo , hujui kwamba hiyo KAZI haina future,
Usimruhusu mwanao kufanya hiyo KAZI, Nchi hii haifuati Sheria wala taratibu walizojiwekea wenyewe
Toa ufafanuzi haina future vp?
Kwahiyo level ya mafanikio aliyokuwa kafika Jenister unaichukuliaje yaani?!!
Unataka future after life ama una maana gani yani?
 
Wakimbie haraka sana nje ya nchi na waanze kuongea, itaongeza speed kuling’oa uaji Samia, CCM tuliwaambia muuaji hana rafiki mtafikiwa tuu, Samia must go ameshaua sana na hataacha kishaonja damu
 
Nilimsikia hayati Jenestha akiongea English
Binafsi nilishangaa vetting ya viongozi wakubwa, yaani kilaza kama Jenestha anakuwa na chuo hadi kuwa Waziri?
Kaka achana na hiyo lugha bro .
Wengine tuna kazi ambazo ukizisema hapa kila mtu atatuita wasomi ila ikifika kwenye hako ka lugha bro nakuwa mdogo kama pirton
 
Mkwe anaenda kueleza siri za mgonjwa kama nani? Kama sio kuficha mambo yao?.Swali wataua wangapi?😓
 
Pole sana jielimishe ujue kiasi
Yaani sio kwamba sielewi hata akiongea Arnod schwalzeneger ila ile kurudisha kaka na hapo hapo niongee kwa kujimwaya mwaya kama ninavyoongea kiswahili na kizaramo inakuwa ngumu kaka ,ulimi unagoma na kukataa kata kata .
Nimebahatika kwenda mpaka kwa wenye hiyo lugha lakini bado halmshauri ya kichwa changu imegoma kuipokea kabisa .

Ni hapo nimebaki kujiweka mbali na makongamano yanayohusisha hiyo lugha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…