FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Gari la muajiri wako, sio lako, wewe dereva unalipwa laki 3 mfano, na mwahiri wako kakupa V8 ambayo taa moja inauzwa milioni 2, sasa wewe dereva ukanunue taa? Hilo si kosa la dereva, ni kosa la gari, na mmiliki ndie hubeba huo mzigo. Narudia, barabarani kuna makosa ya dereva na makosa ya gari; na yote huoigwa faini.Gari likokisa taa ni kosa la dereva mkuu. Kwanini ameshindwa kuweka taa katika gari lake?
Kwanini dereva anakubali kuendesha gari mbovu ambayo haina taa?Gari la muajiri wako, sio lako, wewe dereva unalipwa laki 3 mfano, na mwahiri wako kakupa V8 ambayo taa moja inauzwa milioni 2, sasa wewe dereva ukanunue taa? Hilo si kosa la dereva, ni kosa la gari, na mmiliki ndie hubeba huo mzigo. Narudia, barabarani kuna makosa ya dereva na makosa ya gari; na yote huoigwa faini.
OkayYou earn more you paymore, benefits/faida za mshahara mkubwa zinamaanisha kwamba unauwezo wa kuchangia zaidi ya yule mwenye kipato kidogo, point ni kukusanya mapato, hiyo ni tozo na sio faini. Kwenye faini lengo si kukusanya mapato bali ni kuzuia ajali, sasa unless uniambie kwamba engine ikiwa kubwa zaidi then madhara ya ajali yanakua consistently makubwa zaidi ya engine ndogo then hoja yako inaweza ikawa na mantiki, otjerwise ni upuuzi tu
Safi sana. Jibu la kifilosofia.Anayelipishwa fine ni dereva sio gari.
Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara?Safi sana. Jibu la kifilosofia.
OkUkubwa wa engine ndicho ukichotaka kusema bila shaka
Yeye ni vehicle inspector? Maana hata tairi likiisha tarehe zake za kufanya kazi ni kosa la gari, sasa kuna dereva atakayeweza kukagua hadi tarehe za tairi among a tonne of other things, kwa kila gari? Ni jukumu la mwenye gari kupeleka kwa wataalam wakague regularly, sio kazi ya dereva, taa ilikuwa ni mfano tu, ila kuna vitu vingi sana; mfano taa ya indicator inaweza ikaungua na dereva asijue hata wiki, ila akikaguliwa na traffic gari linapigwa faini si derevaKwanini dereva anakubali kuendesha gari mbovu ambayo haina taa?
If that's the case, kwanini murder na manslaughter zina adhabu mbili tofauti?...Makosa uzito wake unapimwaje?!
Na hukumu inapimwaje ili ilingane uzito, ukubwa, ujazo, urefu, umbali au ufupi wa kosa.
Kwanini jinai zingine zina standard na hukumu tofauti mkuu?Hivi vitu havipimiki hivyo havina standard yoyote kuvipa usahihi.
Ndio yeye ni vehicle inspector wa kwanza hata kabla hayawasha engine ya gari...Yeye ni vehicle inspector? Maana hata tairi likiisha tarehe zake za kufanya kazi ni kosa la gari, sasa kuna dereva atakayeweza kukagua hadi tarehe za tairi among a tonne of other things, kwa kila gari? Ni jukumu la mwenye gari kupeleka kwa wataalam wakague regularly, sio kazi ya dereva, taa ilikuwa ni mfano tu, ila kuna vitu vingi sana;
Hahaha hakuna standard hata jinai zina hukumu tofautiKwanini jinai zingine zina standard na hukumu tofauti mkuu?
Makosa ya barabarani nayo ni jinai ujue? Sasa kwanini tozo zinafanana?Hahaha hakuna standard hata jinai zina hukumu tofauti
Sawa mkuu. Sasa mkuu waliwezaje kupima uzito na kujua kuwa fine inapaswa kuwa 30,000/= kwa kila kosa na sio 20,000/=?Mzania wa Kupima uzito wa kosa ndio changamoto nadhani;
Dereva hana taaluma ya 'motor vehicle inspector', hiyo ni kazi ya mtaalam, Dereva ana limits zake, atakagua oil, maji na vitu vidogo vidogo, so haliwezi kuwa kosa lake, ni kosa la gari, na mzigo atabeba mwenye gariNdio yeye ni vehicle inspector wa kwanza hata kabla hayawasha engine ya gari...
Huyu atakuwa ni dereva mzembe sanamfano taa ya indicator inaweza ikaungua na dereva asijue hata wiki, ila akikaguliwa na traffic gari linapigwa faini si dereva
Kama kosa ni la gari, kwanini askari wa usalama barabarani anaandika number ya gari pamoja na number ya leseni ya dereva katika ile mobile machine yake?Dereva hana taaluma ya 'motor vehicle inspector', hiyo ni kazi ya mtaalam, Dereva ana limits zake, atakagua oil, maji na vitu vidogo vidogo, so haliwezi kuwa kosa lake, ni kosa la gari, na mzigo atabeba mwenye gari
Ili kuweka records sahihi, maana madereva wengine huiba magari yard na kwemda kupiga day worker bila kumtaarifu bosi, hivyo lazima tujue aliyekuwa anaendeshaKama kosa ni la gari, kwanini askari wa usalama barabarani anaandika number ya gari pamoja na number ya leseni ya dereva katika ile mobile machine yake?
Hapo nadhani hakuna mzani ndio maana iko Flat rate ya 30000; Inawezekana wameangalia uwezo rafiki wa wamiliki magari wengi wastani ukaangukia hapo (sina hakika kigezo gani walitumia, inawezekana waliamua tu)Sawa mkuu. Sasa mkuu waliwezaje kupima uzito na kujua kuwa fine inapaswa kuwa 30,000/= kwa kila kosa na sio 20,000/=?