FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Gari la muajiri wako, sio lako, wewe dereva unalipwa laki 3 mfano, na mwahiri wako kakupa V8 ambayo taa moja inauzwa milioni 2, sasa wewe dereva ukanunue taa? Hilo si kosa la dereva, ni kosa la gari, na mmiliki ndie hubeba huo mzigo. Narudia, barabarani kuna makosa ya dereva na makosa ya gari; na yote huoigwa faini.Gari likokisa taa ni kosa la dereva mkuu. Kwanini ameshindwa kuweka taa katika gari lake?