FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ukubwa wa engine ndicho ukichotaka kusema bila shakaAthari za makosa hazijalishi ukubwa wa makosa mfano ajali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukubwa wa engine ndicho ukichotaka kusema bila shakaAthari za makosa hazijalishi ukubwa wa makosa mfano ajali.
Kwanini kusiwe na madaraja ya makosa barabarani na faini zake kama ilivyo kwa P.A.Y.E ukifanya kosa dogo ulipe faini kulingana na kosa husika kama ni dogo unalipa kidogo kama ni kubwa unalipa faini kubwa?...Kwa sababu ukubwa wa madhara ya kuvunja sheria hizo ni yale yale bila kujali ukubwa wa engine.
Umeulizwa; athari / madhara ya ajali yanatofautiana?Vipato havifanani kwanini tozo zifanane?
Madhara yanatofautiana sana mkuu. Kama wewe unaendesha Bajaj kisha ukagongwa na IST impact haiwezi kuwa kubwa kama ukigongwa na ScaniaUmeulizwa; athari / madhara ya ajali yanatofautiana?
Mwenye Lorry alibeba mzigo akavuka redlight na akasababisha ajali , na mwenye bajaji aliyebeba abiria wa 5 akavuka redlight, kwenye bajaji wakafariki wote, kwenye Lorry akagongana na Lorry mwenzake na wakaumia tu, ni nani ana madhara zaidi kwenye makosa? Hivyo ukubwa waengine sio kigezo.Anayegongwa na Lorry na anayegongwa na Bajaj zote zikiwa katika speed sawa, ni nani yupo katika hatari kubwa ya kupoteza maisha?
Bajaj na Lorry zikigongana na IST kwa speed sawa na nyakati tofauti impact zake zitafanana?
Kigezo ni nini sasa? Mbona kwa PAYE ukubwa wa mshahara ndio kigezo?Mwenye Lorry alibeba mzigo akavuka redlight na akasababisha ajali , na mwenye bajaji aliyebeba abiria wa 5 akavuka redlight, kwenye bajaji wakafariki wote, kwenye Lorry akagongana na Lorry mwenzake na wakaumia tu, ni nani ana madhara zaidi kwenye makosa? Hivyo ukubwa waengine sio kigezo.
Kaka kajipange upya. Mada kimeoShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na ukubwa wa engine ya chombo (CC-Cubic Centimetres) kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara wa mtumishi?
(1) Kwanini gari kama IST pamoja na Landcruiser V8 yote yakitenda kosa moja la usalama barabarani kama vile overspeeding wanalipa tozo inayofanana ya 30,000/=?
(2) Mbona mfanyakazi anayepokea mshahara basic wa 1,500,000/= pamoja na mwingine anayepokea 300,000/= wanalipa viwango tofauti vya kodi ya PAYE?
(3) Katika kuvuka daraja la Mwalimu Nyerere pale Kigamboni wanalipa kulingana na ukubwa wa gari na kwanini hakuna tozo za kufanana?
(4) Kwanini kusiwe na madaraja ya makosa barabarani na faini zake kama ilivyo kwa P.A.Y.E ukifanya kosa dogo ulipe faini kulingana na kosa husika kama ni dogo unalipa kidogo kama ni kubwa unalipa faini kubwa?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa kaka. Lakini kwanini fine/tozo ni flat rate mkuu?Kaka kajipange upya. Mada kimeo
MhhhUkivuka redlight na ukasababisha ajali watu wanakufa na wabaweza wakafa wengi zadi kwenye gari ya engine ndogo kuliko lorry kubwa la mizigo
Kaka, ninadhani ungefafanua kwanini unasema mada kimeo ingekuwa na tija zaidi kwangu pamoja na wadau wengine wanaoingia hapa kusoma.Kaka kajipange upya. Mada kimeo
Ndio mkuuUkubwa wa engine ndicho ukichotaka kusema bila shaka
Hoja yako (kwenye heading) ilikuwa ni ukubwa wa engine , na ndio hoja niliyojibu. Hilo la ukubwa wa kosa itaymiza tu madereva, maana kosa la chini kabisa litakuwa 30,000/= hii hii, halafu mengine ndii wataangalia waongeze kiasi gani juu ya hiyo 30k, hivyo naona wasuongeza maana itaumiza madereva kwa kutozwa tozo zaidi ya 30kKwanini kusiwe na madaraja ya makosa barabarani na faini zake kama ilivyo kwa P.A.Y.E ukifanya kosa dogo ulipe faini kulingana na kosa husika kama ni dogo unalipa kidogo kama ni kubwa unalipa faini kubwa?...
Lakini si kweli pia kwamba bajaji aliyebeba abiria akavuka redlight na akagonga na lory ataua watu wengi zaidi ya Lorry la mchanga likivuka redlight na akagongwa na Lorry ambapo mafereva wote wanauwezekano mkubwa wa kupona? Kwahiyo ukubwa wa engibe sio kigezo consistent na hakiqualify kuwa base of referenceMadhara yanatofautiana sana mkuu. Kama wewe unaendesha Bajaj kisha ukagongwa na IST impact haiwezi kuwa kubwa kama ukigongwa na Scania
You earn more you paymore, benefits/faida za mshahara mkubwa zinamaanisha kwamba unauwezo wa kuchangia zaidi ya yule mwenye kipato kidogo, point ni kukusanya mapato, hiyo ni tozo na sio faini. Kwenye faini lengo si kukusanya mapato bali ni kuzuia ajali, sasa unless uniambie kwamba engine ikiwa kubwa zaidi then madhara ya ajali yanakua consistently makubwa zaidi ya engine ndogo then hoja yako inaweza ikawa na mantiki, otjerwise ni upuuzi tuKigezo ni nini sasa? Mbona kwa PAYE ukubwa wa mshahara ndio kigezo?
Mmh nini sasa, daladala akavuka redlight na akaua watu 20 baada ya kugongwa na lorry ni sawa na mwenye semi la mahindi akavuka na kisha akagongwa na lorry hilo hilo na asife mtu?Mhhh
Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara?Mbona hamna Relation hapo....jaribu tena kufikiria mfano
Kuna jamaa mmoja humu amenipa ufafanuzi mzuri sana kwa kusema ya kuwa "fines" sio za magari bali ni za derevaMmh nini sasa, daladala akavuka redlight na akaua watu 20 baada ya kugongwa na lorry ni sawa na mwenye semi la mahindi akavuka na kisha akagongwa na lorry hilo hilo na asife mtu?
Kwamba gari huwa halipigwi faini? Kuna makosa ya gari na makosa ya dereva , yote hutozwa faini, kama huamini, mwambie mtu akuazime gari lisilo na taa , na wewe dereva usifanye kosa lolote uone kama hukamatwiKuna jamaa mmoja humu amenipa ufafanuzi mzuri sana kwa kusema ya kuwa "fines" sio za magari bali ni za dereva
Gari likikosa taa ni kosa la dereva mkuu. Kwanini ameshindwa kuweka taa katika gari lake?Kwamba gari huwa halipigwi faini? Kuna makosa ya gari na makosa ya dereva , yote hutozwa faini, kama huamini, mwambie mtu akuazime gari lisilo na taa , na wewe dereva usifanye kosa lolote uone kama hukamatwi