Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?

B.itcheessss eeh🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo vita ipo kila mahali jitahidi ukae mbali nao na upige kimya, mm uliwahi nikuta hiyo tena huyo dada tulikuwa marafiki baadae alikuwa adui yangu ila niliamua kupiga kimya hadi Leo uwa anielewi
 
Kazini mkuu ukitaka uwe na amani yako tumia msemo wa "mind your own business". Chapa kazi yako vizuri time ya kwenda home ikifika chukua kilicho chako tembea! Ukiwa chawa utapata taabu sana!
 
nyumbani napo unakuta mke kawaka hasira hapo ni bar hakuna kirudi home miezi yenyewe hii iliyobaki yote inaishia na bar tu!, September, October, November, December namimi ni member!..😂

si ndo wanasemaga hivyo au nimekosea to yuyu..??
Mimi nilicho jihapizia siwezi kuzinguliwa na mwanamke kwenye nchi ambayo population kubwa ni wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…