Kwanini tunachukiana makazini? Yani shida inakuwa nini?


Yule uliye mzidi, ndiye anaye kuchukia. Na katika kumzidi, siyo lazima kwa vitu ambavyo wewe unaviona. Vingine umemzidi bila wewe mwenyewe kujua. Mpaka unashangaa, mbona huyu ana kila kitu!!!!?

Lakini pia kwa upande mwingine ukiwa na kiburi au tabia za kinyonge, utachukiwa.
 
True that
 
Human being are just human being, hawahitaji sababu kukuchukia, unaweza kuwa huna time na mtu, you just mind ur own business, but watu watakuchukia tu,
Kuna watu makazini wanapenda kila mtu awe chawa wao, ass kissers, uwalambe miguu,wao ndio wanajua kila kitu, sasa ukija ukawa tofsuti, uka badilisha status quo, wakaona unauwezo, zaidi Yao, wanakuona tishio Sana, hapo lazima uchukiwe tu,
 
K
kanuni ni hizi

“kamwe usianzishe mahusiano ya kimapenzi eneo la kazi”

“ Pia kamwe usi expose mambo/maisha yako binafsi eneo la kazi.,,
 
halafu sasa watu wa mbeya hatujafunzwa chuki

na kujipendekeza kwa wakubwa hamjuagi. nilikuwa naye mmoja ofisini, hakuwa na hizo, yeye ni kazi tu. nilimuelewa sana yule mwaisa. maana akiwa na issues alikuwa hanaga kupika majungu. yee anakuja kuuliza, na mimi kwa kuwa nilikuwa namjua. nilikuwa nampa majibu makavu live, na kunishukuru kuwa amenielewa.
 
Sasa wivu wa nini wakati wote unalipwa tu shinda inakuaje
Punguzeni kuongea ongea mnapokuwa makazini, story zisizokuwa na kichwa wala miguu, mixer kutongoza tongoza na kushobokea hao kina mama/dada...kwa kifupi, kama alivyosema mkuu mmoja hapo juu, fanya kilichokupeleka kazini, muda ukiisha ondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…