Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Uko sahihi.

Na katiba iko wazi kwamba makamu wa Rais ataapishwa kuwa rais ili kumalizia kipindi kilichobakia kwa awamu ile.
katiba hizungumzi mambo ya awamu inazungumzia kipindi kilichobaki na kuonesha kua anayechukua mikoba ni Rais anayejitegemea ndio maana Samia ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu kama atataka kufanya hivyo.
 
Hatulazimishwi ila kwenye kile kiti tangu tupate uhuru ni mtu wa 6 kukikalia kama amiri jeshi mkuu

1-Nyerere
2-Mwinyi
3-Bro Ben
4-Jeikei
5-Jeipiemu
6-Sa100

Nina F ya Hesabu ila Hesabu hii naimudu bila shida
 

Another Zany.
 
Awamu moja maana yake ni rais mmoja.

Wakiwa kumi Hizo ni Awamu kumi.

Hii ni Awamu ya sita ya muhula wa tano wa urais.
 
Hatulazimishwi ila kwenye kile kiti tangu tupate uhuru ni mtu wa 6 kukikalia kama amiri jeshi mkuu

1-Nyerere
2-Mwinyi
3-Bro Ben
4-Jeikei
5-Jeipiemu
6-Sa100

Nina F ya Hesabu ila Hesabu hii naimudu bila shida
Kila Rais ni awamu moja. Tuna marais sita waliokwisha ongoza nchi ndani ya mihula mitano.
 
ajamu ina msaada gani ktk maendeleo ya jamii?hicho ni kipindi tu sawa na jina tunachoitaji ni Haki,na maendeleo si awamu
 
Awamu moja maana yake ni rais mmoja.

Wakiwa kumi Hizo ni Awamu kumi.

Hii ni Awamu ya sita ya muhula wa tano wa urais.

Liangalie hili Bumunda lingine. Kwani kama hamna IQ Kubwa si mnyamaze tu au muwe Watazamaji kuliko Kukurupuka hivi?

Nasisitiza Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa mwisho ( wa pili )

Nimemaliza.
 
So akitokea akafariki..ghafla..Mpango atakuwa Rais wa Saba katika awamu ya Saba sio!?
Ujinga mtupu ..Yani majitu nmnakomaa kwa kitu ambacho kipo wazi ..awamu Gani inakuwa na miaka minne..ama Tisa!?
So awamu ina miaka mingapi?
 
Wewe tunajua tatizo lako lilipo endelea kupambana na hali.

TUPO AWAMU YA SITA NA MAMA ATAPITISHWA NA CHAMA KUGOMBEA TENA 2025 KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA SITA. MSIMAMO WA CHAMA UPO PALE PALE🤣, NGOJA APEWE UENYEKITI.
 
Kwa hiyo katiba ingekuwa inataka rais akifa ufanyike uchaguzi mwingine je samia angekuwa ni rais wa awamu ya ngapi?
 
Wewe tunajua tatizo lako lilipo endelea kupambana na hali.

TUPO AWAMU YA SITA NA MAMA ATAPITISHWA NA CHAMA KUGOMBEA TENA 2025 KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA SITA. MSIMAMO WA CHAMA UPO PALE PALE🤣, NGOJA APEWE UENYEKITI.

Nimekudharau zaidi ya Kinyesi Kibichi.
 
Duniani kuna mambo mengi ya kujua na kujifunza...sio lazima yote uyajua unatakiwa uchague yanayokuhusu na yenye tija kwenye hatma ya harakati zako.............sasa huyu kutaka kujua hii AWAMU ya ngapi inamsaidia nini🤓🤓
 
Kwa hiyo upo uwezekano wa samia kuwa rais kwa jumla ya miaka 14?
 
Kwa hiyo kuna uwezekano wa samia kuwa rais kwa Muda wa miaka 14 kama Mungu atamjalia pumzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…