katiba hizungumzi mambo ya awamu inazungumzia kipindi kilichobaki na kuonesha kua anayechukua mikoba ni Rais anayejitegemea ndio maana Samia ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu kama atataka kufanya hivyo.Uko sahihi.
Na katiba iko wazi kwamba makamu wa Rais ataapishwa kuwa rais ili kumalizia kipindi kilichobakia kwa awamu ile.