Kwanini tunashindwa kumuona adui aliye gizani?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🄵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical
Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi.

Bila kujua bomu wanalotengeneza wakiimaliza CHADEMA watageukiana na kugeukana
Kwasasa ni wamoja kwakuwa wanaisulubu CHADEMA.

Lakini kama wangejua wangeiacha CHADEMA kwa afya ya ustawi wa Tanganyika. Kwenye maisha kila kitu kina pande mbili zinazotoshana NGUVU.

Ukiona kitu kinachotakiwa kuwa na pande mbili lakini upande mmoja ukawa dhaifu .. Huo ni ulemavu na hilo ni tatizo! Na tatizo litakuja kudhihirika upande wenye nguvu utakapolemewa na kuzidiwa

TANGANYIKA Inatengenezewa ulemavu wenye hasara kubwa mbeleni😭
 
kibaraka wa mabwenyenye wa magaharibi ndie hasa aliewapumbaza na kuwagawanya chadema mpaka hivi walivyo. Hawajui mambo ya leo, hawajui mambo ya kesho na wala hawajui wadai nini na wanaelekea wapi, ni giza totoro mbele yao :pedroP:
 
Tatizo la CHADEMA Akili ndogo inaongoza akili kubwa. cc Lema.
 
mnafanya kosa kubwa sana kuabudu watu badala ya kujenga taasisi, mwisho wa tundu lisu au mbowe haupaswi kuwa mwisho wa chadema kama chama, chama siyo mtu mmoja or haipaswi kuwa hivyo atleast, chadema inapaswa iwepo long after hata hao akina tundu lisu na mbowe wasipokuwepo.

kwa maoni yangu mnawekeza sana matumaini na mategemeo kwa binadamu ambao siajabu kiuhalisia hata hamuwajui vizuri matokeo yake ndiyo disappointments kila siku, mtegemeeni Mungu na siyo sijui tundu lisu au mbowe kwa maana wote ni binadamu wenye mapungufu …
 
CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🄵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical
Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi.

Bila kujua bomu wanalotengeneza wakiimaliza CHADEMA watageukiana na kugeukana
Kwasasa ni wamoja kwakuwa wanaisulubu CHADEMA.

Lakini kama wangejua wangeiacha CHADEMA kwa afya ya ustawi wa Tanganyika. Kwenye maisha kila kitu kina pande mbili zinazotoshana NGUVU.

Ukiona kitu kinachotakiwa kuwa na pande mbili lakini upande mmoja ukawa dhaifu .. Huo ni ulemavu na hilo ni tatizo! Na tatizo litakuja kudhihirika upande wenye nguvu utakapolemewa na kuzidiwa

TANGANYIKA Inatengenezewa ulemavu wenye hasara kubwa mbeleni😭
Ukiona hadi state ulina side na mtu fulani, means kuna kitu anawapa or wanapata. Its sad kwamba watu wameweka mapenzi mbele, wana ignore bayana
 
kibaraka wa mabwenyenye wa magaharibi ndie hasa aliewapumbaza na kuwagawanya chadema mpaka hivi walivyo. Hawajui mambo ya leo, hawajui mambo ya kesho na wala hawajui wadai nini na wanaelekea wapi, ni giza totoro mbele yao :pedroP:
unaonaje wewe Tlaatlaah na mwenzako pacha wako Lucas mwashambwa kwa uandishi wenu wa kizandiki kutwa kumbondea nguli wa siasa za upinzani wa kweli Lissu muwe vinara wa kampeni za lisu kuendelea kuwa mwenyekiti wa genge la chadema?
 
CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🄵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical
Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi.

Bila kujua bomu wanalotengeneza wakiimaliza CHADEMA watageukiana na kugeukana
Kwasasa ni wamoja kwakuwa wanaisulubu CHADEMA.

Lakini kama wangejua wangeiacha CHADEMA kwa afya ya ustawi wa Tanganyika. Kwenye maisha kila kitu kina pande mbili zinazotoshana NGUVU.

Ukiona kitu kinachotakiwa kuwa na pande mbili lakini upande mmoja ukawa dhaifu .. Huo ni ulemavu na hilo ni tatizo! Na tatizo litakuja kudhihirika upande wenye nguvu utakapolemewa na kuzidiwa

TANGANYIKA Inatengenezewa ulemavu wenye hasara kubwa mbeleni😭
Mtu mzima Muongo wew!! Pambaneni na hali zenu muwaache na wengine wapambane na zao!!
 
unaonaje wewe Tlaatlaah na mwenzako pacha wako kwa uandishi wenu wa kizandiki kutwa kumbondea nguli wa siasa za upinzani wa kweli Lissu muwe vinara wa kampeni zake kuendelea kuwa mwenyekiti wa genge la chadema?
gentleman,
kwamba wachambuzi wabobevu wa siasa za vyama wanamsagia sumu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi? :pedroP:

si kweli,
nadhani wanafanya kazia yao vizuri, kwa kuwafafanulia wadau kitaalamu miendendo ya wanasiasa hususani wanaoshiriki uchaguzi wa kitaifa ndani ya chadema.

hakuna mwenye ubaya na mtu, sisi sote ni waTanzania na tunapendana sana kama Taifa:pulpTRAVOLTA:
 
Mwamba kaweka wazi upande anao utumikia. Wenye akili tumemuelewa!
 
Attachments

  • 5255820-900eac709d849ea146fff30dcf48cf3c.mp4
    4.1 MB
Back
Top Bottom