Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikanaš¤¬š„µ . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical
Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi.
Bila kujua bomu wanalotengeneza wakiimaliza CHADEMA watageukiana na kugeukana
Kwasasa ni wamoja kwakuwa wanaisulubu CHADEMA.
Lakini kama wangejua wangeiacha CHADEMA kwa afya ya ustawi wa Tanganyika. Kwenye maisha kila kitu kina pande mbili zinazotoshana NGUVU.
Ukiona kitu kinachotakiwa kuwa na pande mbili lakini upande mmoja ukawa dhaifu .. Huo ni ulemavu na hilo ni tatizo! Na tatizo litakuja kudhihirika upande wenye nguvu utakapolemewa na kuzidiwa
TANGANYIKA Inatengenezewa ulemavu wenye hasara kubwa mbeleniš