Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Huyu ni kinyesi Cha huko kwao ameibuka tu hata hafatili Mambo kwa kina anakurupuka kuweka uharo wake hapaYou are out of touch video zipo wenye kumbukumbu watakuwekea hapa subiri kidogo
Haya maovu anayoyafanya Magufuli na Makonda hayayezi kupita hivi hivi hata kidogo. Kuna miisho mibaya kwa watu hawa ambayo mifano ipo.Hivi sababu hasa ni ipi?
Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?
Au ni wivu tu?
I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?
Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?
Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
watu wote walionusurika kifo hujitathmini maisha yao baada ya tukio na kubadilika, ...
Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Hivi wewe unaelewa unachokiongea? Serikali yote na machinery yake waamue kukuuwa watashindwa? Yaani Amiri Jeshi Mkuu aamrishe uuwawe halafu washindwe na kwenda kukutibu Hospitalini?
Ungekuwa ni wewe umenusurika kifo kwa kupigwa risasi zote hizo ungejisikiaje? Acha unafiki. Kuwa mkweli.Hivi sababu hasa ni ipi?
Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?
Au ni wivu tu?
I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?
Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?
Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Asante kwa maneno mazuri sana.Swala la uvunjaji wa haki za binadamu linalofanyika ktk utawala huu Magufuli lazima atawajibika tu siku moja. Tuweke macho.
Na kama atafanikiwa kupona hapa duniani kama Moi, huko atakakoenda wao wana-deal na roho tu, hawajui huko duniani ulikuwa rais na kuwa kwenye msiba wako walipiga mizinga 21, hayo hayawahusu.
Miaka kumi ni michache sana na kama hukuwekeza kwenye mahusiano mema na jamii, huko mbele hata upewe ulinzi gani lkn utakuwa paranoid tu na hutakuwa na amani moyoni.