Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
๐๐๐eti anazindua GodownRaisi anazindua godown. Hiki kituko. Karne ya 21 tunazndua magodown
Na kibaraka ni watu wenu wanaojichekesha afu kesho wanenda kuomba misaada na why mkibanwa kende mnajilegeza mfano inshu ya covid 19 umeisahau.
Yeah mkuu. Au uongo..?๐๐๐eti anazindua Godown
AkaNani atapoteza mda wake kusikiliza ngonjera za mwanamke mrevi?
Roho mbaya ni mtaji kwa baadhi ya watuNiliwahi sema humu baadhi ya Watanzania mna roho mbaya saba bora hata ya Wazulu mtu kapigwa risasi zaidi ya 20 lakini mpo busy kumsakama akitafuta haki yake.
Afungue TV ๐บ yake ya kuongea mambo mazuri ya raisHivi kwani Lissu ni Raia wa nchi gani? kama anachokiongea kwenye press ni kosa kisheria mbona hashtakiwi mahakamani ili afungwe daima? Mbona watawala wamemuacha?
Ipo channel 10 na tbc mkuu, watawala wanapewa dakika 20 kule.
Mungu hashindwi sasa mkao wa kusubiri list ya wauaji na watekaji.Dami ya mtu ni mbaya sana. Wakati wa Daniel kwenye Utawala wa Mfalme Dario( Darius) baraza la mawari( maliwali) lilimlia njama Nabik Daniel ili vyombo vya Dola vimkamate na kumuua kwa Kumtupa kwenye Shimbo la Simba.
Aisee kilichotokea ni kwamba Wake, na watoto wa mawaziri na mawaziri wenyewe wote waliupwa wao. Simba waliwalarua vibaya mno wakafia mle.
Na sasa Mungu amemfunulia haki Tundu Lissu kwa namna nyingine kabisa ambayo hakuna aliyewahi kuifikiria.
Kweli Mawazo.ya Mungu sio kama ya Wanadamu.
Dunia inaenda ku design tukio lile kama UgaidiMungu hashindwi sasa mkao wa kusubiri list ya wauaji na watekaji.
Mzee butiku alisema viongozi wakuu wanawajuq
Hizo akili za kuerevuka anazo sasa.Majinga yanayomiliki simu ni mengi sana uku mitandaoni.Mengi yao yanaanzisha mada hazina kichwa wala makalio.Mkuu anzisha TV yako ya kusifu na kuabudu. Utapata watazamaji wengi tu.
Katika private business ya news ni mambumbumbu tu hawaelewi kuwa when a dog bites a man that not news, but when a man bites a dog THATS NEWS!
Erevuka mkuu.