Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Hallaa, kumbe musukuma ndie johnbaptist?? Lol
 
Ahsante bwashee nimemkumbuka na Wenje wa Nyamagana na yule Machemli wa ukerewe
 
Hallaa, kumbe musukuma ndie johnbaptist?? Lol
Hahahaaaa...... Msukuma anaweza kulipia gharama za uendeshaji ofisi ya Ufipa kwa miaka mitano bila kutetereka ukiwemo mishahara ya JJ Mnyika na vijana wake.
 
Hivi wewe unavinasaba na shetani?
 
Amekwenda hadi Rukwa-Namanyere-Kirando, mama yako amejenga Lami huko?
 
Sii kweli, kwao hizo ndio mbinu walizoziita za kisayansi,hii ni mojawapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…