Unaongea kwa taarifa za kuunga unga.Ukitaka kumjua USA ni nani basi jaribu kurusha kombora kwenye ardhi yake, Au kumsogelea kwenye ardhi yake.
Hao Yemen wanabwekea mbali hawajaribu kumsogelea USA kwenye ardhi.
Osama bin Laden alijaribu kumshika simba sharubu, alisakwa mpaka uvunguni mwa vitanda..π π
Osama si aliwahi kutumika kabla na USA hao hao kama Taliban na Mujaheddin walivyotumika kuivunja USSR ya Soviet!?
Alqaeda ilisumbua kwa muda gani mpaka Osama akafariki?
USA usiikuze hivyo,uwezi ukasema Yemeni anabwekea mbali ilhali Baab Al mandib ni mkondo wa bahari muhimu wa upitishaji mizigo baina ya Ulaya na mashariki ya kati na mashariki ya mbali.
Hivyo hadi USA interests zimeguswa,na mbaya zaidi Yemeni ndio kauzuia huo mkondo wa bahari hadi sasa US kashindwa kumteketeza.
Pia usisahau US amefeli mission nyingi na vita nyingi tu mfano mdogo ni vita na vietnam 1970s.
USA ilipigwa kipigo takatifu yenyewe inalijua hilo.