Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Ukitaka kumjua USA ni nani basi jaribu kurusha kombora kwenye ardhi yake, Au kumsogelea kwenye ardhi yake.

Hao Yemen wanabwekea mbali hawajaribu kumsogelea USA kwenye ardhi.

Osama bin Laden alijaribu kumshika simba sharubu, alisakwa mpaka uvunguni mwa vitanda..😅😅
Unaongea kwa taarifa za kuunga unga.
Osama si aliwahi kutumika kabla na USA hao hao kama Taliban na Mujaheddin walivyotumika kuivunja USSR ya Soviet!?
Alqaeda ilisumbua kwa muda gani mpaka Osama akafariki?
USA usiikuze hivyo,uwezi ukasema Yemeni anabwekea mbali ilhali Baab Al mandib ni mkondo wa bahari muhimu wa upitishaji mizigo baina ya Ulaya na mashariki ya kati na mashariki ya mbali.
Hivyo hadi USA interests zimeguswa,na mbaya zaidi Yemeni ndio kauzuia huo mkondo wa bahari hadi sasa US kashindwa kumteketeza.
Pia usisahau US amefeli mission nyingi na vita nyingi tu mfano mdogo ni vita na vietnam 1970s.
USA ilipigwa kipigo takatifu yenyewe inalijua hilo.
 
Mwaka jana kama sijakosea Seoul waliadhimisha siku ya ukatili wa kingono uliofanywa na WaJapan kwa Korea na mmoja ya wahanga aliebaki hai alikuwepo.
Seoul walituma ujumbe kwa kuwaalika na kuwasihi Tokyo waombe radhi ila jibu walopewa hata Yesu hapendi.
Waliwaambia yaliyotokea ni past regime na regime ya sasa haihusiki na dhambi za nyuma.
Masamurai ni washenzi na hiyo ndio moja ya sababu kubwa wanachukiwa wenzao wazungu wanajitahidi kuomba msamaha na kulipa fidia kadiri wanavyoweza ila kwa Japan ni kipengele kweli
 
Japan alikua fasta kukaa meza ya makubaliano. Akakubali kua neutralized.

Nafikiri hii ilichangia wao kuonekana wana hamu na amani ya dunia. Tofauti na allies wengine ambao ilibidi mwingine ajiue simply ili asiguswe na UK na wenzake.

Historically utapata askari wengi wa Ujerumani ambao walikimbia kwenda nchi zingine kukwepa kuwajibika kwa matendk yao wakati Japan hawana hizi kesi nyingi. In fact mamlaka zilishiriki kuwawajibisha.

So ghafla Japan akawa anaonekana good guy ambaye ilikua ni misunderstandings ndogo ndogo ndiyo zimemfikisha kwenye kua katili.
 
Jamaa walikuwa katili mno na waliwatesa mno. Wachina na hata Wakorea.

Huenda ndio maana waliamua kuachana kabisa na mambo ya kijeshi baada ya vita ila taratibu wameanza kujijenga kwa shinikizo la US Ili kudhibiti nguvu za China.

T14 Armata FRANC THE GREAT TUJITEGEMEE Kichuguu
Ujerumani inatajwa sana kwa sababu waliouwawa zaidi ni Wayahudi. Hata Poland kuna mauaji mengi yalifanywa na Warusi ila hayasemwi sana.

Ni kawaida ya Wayahudi kujiliza na kujikuta wao wanaonewa zaidi. Kwanza wanakuza idadi ya waliouwawa na Nazi Germany, wanakadiria ni 6 million wakati ushahidi wa hizo namba hamna unawezakuta hata 1 million hawafiki. Wao hata wametunga jina "holocaust" hawataki hata litumike kwingine nyinyi wengine tumia "genocide" na ukibisha namba wanazotaja unaitwa holocaust denial.
 
Unaongea kwa taarifa za kuunga unga.
Osama si aliwahi kutumika kabla na USA hao hao kama Taliban na Mujaheddin walivyotumika kuivunja USSR ya Soviet!?
Alqaeda ilisumbua kwa muda gani mpaka Osama akafariki?
USA usiikuze hivyo,uwezi ukasema Yemeni anabwekea mbali ilhali Baab Al mandib ni mkondo wa bahari muhimu wa upitishaji mizigo baina ya Ulaya na mashariki ya kati na mashariki ya mbali.
Hivyo hadi USA interests zimeguswa,na mbaya zaidi Yemeni ndio kauzuia huo mkondo wa bahari hadi sasa US kashindwa kumteketeza.
Pia usisahau US amefeli mission nyingi na vita nyingi tu mfano mdogo ni vita na vietnam 1970s.
USA ilipigwa kipigo takatifu yenyewe inalijua hilo.
Pamoja na yote US bado baba lao kwenye issue za kijeshi
 
Hiyo ilikua zamani sio sasa hivi.
Sasa hivi sio kijeshi sio kidiplomasia USA ni mbabe kipropaganda.
Mbabe gani anawasihi China na Russia na Saudi Arabia wazungumze na Iran asifanye retaliatory strike!?
Au hauna habari kama Blinken anahaha kwa mataifa yenye influence kwa Iran yamzuie Iran kushambulia??
Huyo unamuitaje mbabe!?
Ubabe wa USA umebaki kipropaganda .
 
Takwimu zinaonyesha US still ni best millitary wise ukibisha kagoogle. Najua utaendelea kubisha maana una chuki binafsi na US na its allies uzuri hii haibalishi ukweli wa kitakwimu ulio dhahir shair
 
Nafikiri hii ilichangia wao kuonekana wana hamu na amani ya dunia. Tofauti na allies wengine ambao ilibidi mwingine ajiue simply ili asiguswe na UK na wenzake.

Hata kwa wajapan kuna wengi waliojiua kuliko kusalimu amri. Nenda kasome seppuku (ritual suicide iliyozoeleka Japan) ilifanyika sana mwishoni mwa vita wajapan wakielekea kushindwa.

Hideki Tojo mwenyewe alikamatwa akiwa hoi baada ya kujaribu kujiua kwa kujipiga risasi kifuani.
 
Mpaka leo wachina kupitia filamu zao wanajipa moyo na kujifariji kwamba staili zao Wushu, Taikondo, Tai nchi, Kuu kha ni nzuri kuliko Karate ya mjapani.
 
Takwimu zinaonyesha US still ni best millitary wise ukibisha kagoogle. Najua utaendelea kubisha maana una chuki binafsi na US na its allies uzuri hii haibalishi ukweli wa kitakwimu ulio dhahir shair
😄😄😄😄😄😄 Mtu akisema ukweli mnadai ana chuki binafsi na USA.
Yemeni katika rank ya kijeshi iko chini kwa Saudi Arabia,ila kivita Saudi Arabia hamuwezi Yemen.
India ni no.4 katika rank za global power tena kampita hadi France,je unaamini India iko vizuri kijeshi kuliko France!?
Rank ni rank na ground ni groud.
We baki na rank zako halafu ukifika uwanja wa vita tunakuonesha kazi.
Hapa Afrika Kenya inatajwa kuwa na jeshi lenye nguvu Afrika lakini vitani na katika operations KDF hufeli kila mara.
Jeshi imara sio tu idadi ya silaha bali ni mbinu za vita pia.
Hizo mnazozishikilia ndio propaganda zenyewe zinazompaisha US.
 
Aloo huyo mwanamke baada ya kumbaka waka amua wachomeke na mshale kabisa kwenye k...

Hao bomu la nyuklia liliwafaa sana.

Dunia ni salama mikononi mwa kiranja Marekani.

Hakuna mbwa atajaribu tena kutaka vita na Marekani, watabaki wanabweka bweka tu bila kusogea kwa Marekani...[emoji28][emoji28]
Sio hiyo tu… Leo watu wanafanya majaribio ya silaha za kibailojia kwa wanyama. Wajapan walikuwa wanafanya majaribio kwa binadamu hasa wachina na wa Korea.

Marekani wana utu sana
 
😄😄😄😄😄😄 Mtu akisema ukweli mnadai ana chuki binafsi na USA.
Yemeni katika rank ya kijeshi iko chini kwa Saudi Arabia,ila kivita Saudi Arabia hamuwezi Yemen.
India ni no.4 katika rank za global power tena kampita hadi France,je unaamini India iko vizuri kijeshi kuliko France!?
Rank ni rank na ground ni groud.
We baki na rank zako halafu ukifika uwanja wa vita tunakuonesha kazi.
Hapa Afrika Kenya inatajwa kuwa na jeshi lenye nguvu Afrika lakini vitani na katika operations KDF hufeli kila mara.
Jeshi imara sio tu idadi ya silaha bali ni mbinu za vita pia.
Hizo mnazozishikilia ndio propaganda zenyewe zinazompaisha US.
Pale elimu akhera inapokuwa na nguvu kichwani....uchambuzi bora kabisa wa kisunna kutoka kwa mtu wa maana kabisaaaa....
 
Ndivyo mlivyo.
Nimekupa mifano wewe unaingia katika udini.
Vietnam ilioipiga USA 1970s ilikua yangapi katika rank ya global power!?
Shida yenu mnakaririshwa mkiambiwa ukweli mnaleta udini.
Nina swali moja tu naomba unijibu.

India katika global rank power ipo juu ya France na Uingereza,je kivita ni kweli India inaizidi France na Uingereza!?
👆👆👆👆👆
Naomba hilo jibu hapo.
 
Sio hiyo tu… Leo watu wanafanya majaribio ya silaha za kibailojia kwa wanyama. Wajapan walikuwa wanafanya majaribio kwa binadamu hasa wachina na wa Korea.

Marekani wana utu sana
Marekani alifanya majaribio ya silaha za kibaiolojia kwa watu wanaokaa visiwa vya Marshall Islands.
Nenda kafuatilie mkuu,Marekani hana utu wowote ni mnyama kama wanyama wengine.
 
Japan alikua fasta kukaa meza ya makubaliano. Akakubali kua neutralized.

Nafikiri hii ilichangia wao kuonekana wana hamu na amani ya dunia. Tofauti na allies wengine ambao ilibidi mwingine ajiue simply ili asiguswe na UK na wenzake.

Historically utapata askari wengi wa Ujerumani ambao walikimbia kwenda nchi zingine kukwepa kuwajibika kwa matendk yao wakati Japan hawana hizi kesi nyingi. In fact mamlaka zilishiriki kuwawajibisha.

So ghafla Japan akawa anaonekana good guy ambaye ilikua ni misunderstandings ndogo ndogo ndiyo zimemfikisha kwenye kua katili.
Radia history vita ya WW 2 iliwahi kuisha Ulaya kabla ya pacific

Pia Japan ilikuwa bado inazaidi ya wanajeshi million 3 na hata kwenye makoloni Yao walikuwa bado wanapambana but issue ilikuwa bomu la Nyuklia,

Marekani aliona conventional war na Japan Kama na Ujerumani itauua askari wengi, pia almost kila mjapan atapigana, only solution ni kutumia nyuklia.

Pia mfalme alisarenda bila kuwahusisha majenerali wote, wengine walikuwa hawataki.
 
Back
Top Bottom