Kosugi kwa level ya uelewa wako furahi umeshinda tena furahi sanaNdivyo mlivyo.
Nimekupa mifano wewe unaingia katika udini.
Vietnam ilioipiga USA 1970s ilikua yangapi katika rank ya global power!?
Shida yenu mnakaririshwa mkiambiwa ukweli mnaleta udini.
Nina swali moja tu naomba unijibu.
India katika global rank power ipo juu ya France na Uingereza,je kivita ni kweli India inaizidi France na Uingereza!?
👆👆👆👆👆
Naomba hilo jibu hapo.
Ngojea nikuache uendekeze udini maana mijadala huiwezi.Kosugi kwa level ya uelewa wako furahi umeshinda tena furahi sana
Bila yale mabomu ata USA sizani kama ange toboaMjapani alikuwa tishio sana sema lile Bomu la Nuclear liliwazima kabisa wakaona watulie
Yaani kile kizazi cha japan wale wahuni waliokuwa wanasumbua vita kuu ya pili ukisema uwarudishe leo washuhudie ndugu zao walivyotulia wanaweza kuwachapa makofi
Japan walikuwa na jeshi la ajabu yaani ukienda vitani lazima kujitoa muhanga adui afe, zile ndege za kamikaze zilikuwa marubani wanatarget sehem ya adui wanazigongesha kujitoa muhanga majamaa yalikuwa ni nuksi vibaya
Hapo Asia kulikuwa hakuna wa kumtandika japan kawachapa kama wote, inshort kama japan asingepigwa na mmarekani yale makombora leo hii huenda hapo Asia angekuwa na jeshi tishio yaani Huyo kiduku asingekuwa anathubutu kurusha makombora gake kwenye bahari ya Japan
Japan kilichomharibu ni kucheza na mmarekani yaani katika kosa kubwa ambalo alilifanya ni kwenda kuivamia ardhi ya marekani Direct kitu ambacho hakijawahi tokea alafu akauwa mamia ya wanajeshi na wananchi wa marekani watu kama 2500 walikufa pale
Hapo ndio mmarekani akamtandika na yale mabomu ya Nuclear alafu Japan akasurender, na baada ya kusurender mkataba ulimtaka kutolewa meno kwa jeshi lake lote na akakubali kuwa chini ya uangalizi wa marekani ndio maana hadi leo Jeshi la japan ni kama la wajerumani waliwekewa limit hakuna kuvuka sababu wanajulikana ni watata
Ila Wajapan wa leo na wajerumani waleo ni watu wastaharabu kupindukia yaani ukienda kuishi japan ni moja ya nchi zenye watu waaminifu na wastaharabu sana utasema ni vizazi viwili tofauti na wale ndugu zao
Na ndio maana mitume na manabii waliibuka/"tumwa" nyakati hizo za mbwa kala mbwa kuwapa faraja wengi walioteseka; kwamba yupo MUNGU muweza wa yote.Kwa empire za kizamani, wamongolia,wajapan na dola la rumi ndio naona walikuwa miyeyusho saana, ukatili na vitu vya ajabu ajabu.
Kuna vigari vinaitwa SAMURAI, vinauzika China, Korea, Philippines, na maeneo jirani kweli?Samurai noma sana kuna mwamba aliitwa TAKUMA kuua kwake kama kunywa maji tu
Russia alipigwa 1905 ila second world war Russia alimnyang'anya maeneo ya visiwa hadi leo Japan analalamikaSijui kwa nini Japan hawapewi heshima Yao ya ukatili na ubabe.
Kama Japan asingeishambulia Marekani na kuruhusu mgogoro wake na Marekani uishe kwenye meza ya mazungumzo basi Leo tungekuwa na Superpower Wawili Japan na Marekani tu, China ingekuwa huko Tibet na ndogo Kama Taiwan.
Watu hawampi Japan heshima inayostahili Japan aliwapiga hawa Akiwa peke yake.
1. Russia
2. China
3. Korea
4. Taiwan (Fermosa)
5. Ufilipino
6. Malaysia
7. Indonesia
8. Australia Na Pacific yote
Hawa wote sio wenyeji tu na Wakoloni, Kuanzia Uingereza, Waholanzi n.k
Huyo China ndio alikula kipigo cha mbwa koko.
Kwa jinsi Japan alivokuwa mpole hivi namsihi Iran asijeingia mkenge wa vita na Israel na Marekani
Seppuku inafanywa hata na Modern Yakuza.Hata kwa wajapan kuna wengi waliojiua kuliko kusalimu amri. Nenda kasome seppuku (ritual suicide iliyozoeleka Japan) ilifanyika sana mwishoni mwa vita wajapan wakielekea kushindwa.
Hideki Tojo mwenyewe alikamatwa akiwa hoi baada ya kujaribu kujiua kwa kujipiga risasi kifuani.
Ingeshangaza isingeibuka comment ya para one!Aloo huyo mwanamke baada ya kumbaka waka amua wachomeke na mshale kabisa kwenye k...
Hao bomu la nyuklia liliwafaa sana.
Dunia ni salama mikononi mwa kiranja Marekani.
Hakuna mbwa atajaribu tena kutaka vita na Marekani, watabaki wanabweka bweka tu bila kusogea kwa Marekani...[emoji28][emoji28]
Japan miscalculations tu na strategy zake ndo zilimfelisha, lasivyo hata huu ukanda wa pwani ya africa yawezekana tungekua tunakipiga kijapan na mtaani majina kama Kaoru Mitoma na Wataru Endo yangekua yakumwagaSijui kwa nini Japan hawapewi heshima Yao ya ukatili na ubabe.
Kama Japan asingeishambulia Marekani na kuruhusu mgogoro wake na Marekani uishe kwenye meza ya mazungumzo basi Leo tungekuwa na Superpower Wawili Japan na Marekani tu, China ingekuwa huko Tibet na ndogo Kama Taiwan.
Watu hawampi Japan heshima inayostahili Japan aliwapiga hawa Akiwa peke yake.
1. Russia
2. China
3. Korea
4. Taiwan (Fermosa)
5. Ufilipino
6. Malaysia
7. Indonesia
8. Australia Na Pacific yote
Hawa wote sio wenyeji tu na Wakoloni, Kuanzia Uingereza, Waholanzi n.k
Huyo China ndio alikula kipigo cha mbwa koko.
Kwa jinsi Japan alivokuwa mpole hivi namsihi Iran asijeingia mkenge wa vita na Israel na Marekani
Mambo kweli yanabadilika dunia hii hata mjerumani naye kapoaZama zinabadilika sana Cha ajabu wajapani wa leo hawatii mguu kwa mchina.
Suicide attacks (banzai charges) mwishoni zilianza kumuelemea, refer Battle of Iwo Jima, walikua wachacje in number ila kiongozi wa vita Tadamichi Kuribayashi alikua anapinga banzai charges ila viongozi wa units ndogo ndogo wengine walikua wanapingana naye, yeye alikua anapinga kwa sababu alienda masomoni USA so anajua capability yao na akataka wahold ground kadri wawezavyo.Hata kwa wajapan kuna wengi waliojiua kuliko kusalimu amri. Nenda kasome seppuku (ritual suicide iliyozoeleka Japan) ilifanyika sana mwishoni mwa vita wajapan wakielekea kushindwa.
Hideki Tojo mwenyewe alikamatwa akiwa hoi baada ya kujaribu kujiua kwa kujipiga risasi kifuani.
Para one ndio nini?Ingeshangaza isingeibuka comment ya para one!
Ndio yale yale tu. Walijiua kwasababu wanashindwa. Kwani akina Hitler, Heinrich Himmler na Joseph Goebbels walijiua sababu gani? Aibu ya kubondwa, kushindwa na kuhofia udhalili na kifuatacho wakikamatwa. Ego yao ilivunjwa vunjwa.Unafikiri hiyo ilifanywa kwavile wanalose au ilifanywa kwakua it is their way of "Death before dishonor"
Suicide attacks (banzai charges) mwishoni zilianza kumuelemea, refer Battle of Iwo Jima, walikua wachacje in number ila kiongozi wa vita Tadamichi Kuribayashi alikua anapinga banzai charges ila viongozi wa units ndogo ndogo wengine walikua wanapingana naye, yeye alikua anapinga kwa sababu alienda masomoni USA so anajua capability yao na akataka wahold ground kadri wawezavyo.
kuna movie inaitwa , "Letters of Iwo Jima" imeeleza vizuri sana hii
Na Mjerumani alikuwa na Moto sana.Mambo kweli yanabadilika dunia hii hata mjerumani naye kapoa
Mbona alaska ipo karibu na russia au taratibu sipo vipi paleNa Mjerumani alikuwa na Moto sana.
Yaani Marekani aliwaaokowa watu wengi sana.
Imagine Marekani angeamua asifanye land lease policy alafu Hitler apigane front moja tu asiwaze kabisa kuvamiwa upande wa ufaransa.
Leo timu za Moscow zingekuwa zinashiriki ligi kuu ya Ujerumani.
Hii vita ilimpa hofu na funzo Russia kuwa akitokea Adui strong mpakani mwake basi hatoboi ndio maana anajitahidi sana Ukraine isiingie NATO, yaani safari hii vita itaanzia miles 500 kutoka Moscow na Kule Finland ni Kama mile 300 kwenda St Peter’s burgs
Seat of power is the most important.Mbona alaska ipo karibu na russia au taratibu sipo vipi pale
Nasubiri mpaka waanze rushiana izo nuclearSeat of power is the most important.
NATO wakivamia Russia kuelekea Moscow in full force, itahitaji Risk ya hali ya juu kuacha kuilind Moscow hili ukavuke bahari kuivamia Marekani
Pia eneo lote kuelekea Moscow ukitoa Dniper river iliyoko UKRAINE Hakuna natural border/defences
Sikuzote mshindi ndio anaandika history.Halafu hizi historia za watu wa ulaya na marekani sio za kuziamini mazima
Wana uongo mwingi sana